Mdokezi2
Member
- Apr 4, 2014
- 70
- 5
Habari nyingine kubwa ya Tanzania ni mjadala
wa kurudi au kutorudi bunge la katiba kwa
vyama vya Upinzani ambavyo vilijiunga na
kuwa Umoja wa katiba ya Wananchi (UKAWA)
kwenye mchakato wa kuitafuta katiba mpya ya
Tanzania.
Mbunge wa Nzega Hamis Kigwangalla (CCM)
usiku wa August 1 2014 aliandika kwenye
page yake ya twitter kwamba nimepata taarifa
kuwa sehemu ya kwanza ya mazungumzo ya
kutafuta suluhu baina ya CCM na UKAWA
imekwisha bila mafanikio
Nalo gazeti la Tanzania Daima August 2 2014
limeandika >> UKAWA wakwepa mtego wa
CCM, kitendawili kimeshindwa kuteguliwa
baada ya mkutano wa mwisho wa kutafuta
maridhiano kukwama ambapo kikao hicho
kilichoitishwa na Msajili wa vyama vya siasa
Francis Mutungi kilitawaliwa na mivutano
mikali baina ya Wajumbe wa UKAWA na wale
kutoka CCM.
Tanzania Daima wanaripoti kwamba kikao
kilianza kwa mkwamo baada ya Wajumbe wa
CCM kugoma kuanza kikao wakilenga UKAWA
wasitumie umoja huo bali wajitambulishe
kama vyama vyao lakini umoja huo uligoma.