AMANI TANZANIA
Member
- Jun 11, 2015
- 5
- 2
wewe ndo akili yako hovyo sana!, yaan mmeanza kujihami wakati hujasikia hata ukawa wamesema nini!!Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
RC makonda akili ya hovyo Sana hiiWakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
Mkuu unaishi wapi? Ha ha haaaaaRC makonda? How about Mecky Sadiki?
Umekumbuka kukwepa kodi Leo mkuuUkiendelea kuwa unaposti utumbo wa namna hii utakuwa unaambulia kashfa kila leo
Wewe akili maji RC anahusikaje na Umeya?Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
Wallah ndio jua linanipambazukia japo usiku umeingia....mambo mengine hadi rahaMkuu unaishi wapi? Ha ha haaaaa
View attachment 329499
Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
CCM inawezaje kushinda u-meya Dar?Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii
Kakonda kako mbona ni kama kanaunga ukawa, we huoni kaliipa ukawa kila kitu katika Wilaya alokua anaongoza?Wakati ccm ikimtaka mkurugenzi wa jiji kuitisha uchaguzi wa meya haraka, inaonekana dhahiri kuwa chadema/ ukawa wameshakata tamaa. Sasa wafuasi wengi wa ukawa wanajadili namna ya kumkwamisha RC Makonda ktk majukumu yake. Wakishindwa utasikia ccm imeiba kura! Akili ya ovyo Sana hii