figganigga
Platinum Member
- Oct 17, 2010
- 27,852
- 63,381
Teh Teh hapo kumchagua muwakilishi wa Urais kupitia UKAWA Lazima zichapwe Live
Mie sipendi kabisa kuweka mawazo kuwa wagombea Urais katika UKAWA kuwa lazima wawe hao wakuu wa vyama pekee. Inatakiwa mambo yawe wazi ili kama UKAWA wanaweza kupata mtu yeyote makini ndani ya vyama vyao na akafanya kazi hiyo vyema zaidi.
Lazima watu wao dokane na kuwaza kiccm ccm.