The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,854
Juhudi kubwa zinazofanywa na UKAWA hasa baada ya ndugu Lowassa kujiunga nao... Zimesababisha CCM kuwa makini sana katika maeneo mengi. Mfano mzuri ni pamoja na kupitisha wagombea wanao kubalika maeneo mbali mbali, kama Iringa mjini ambako ndugu Mwakalebela alikatwa mwaka 2010 licha ya kushinda.
Pia CCM inatambua baadhi ya walio kihama chama wanazijua siri za chama... Mwaka huu tutegemee mipango na mikakati mipya.
Zaidi ya yote kuimalika kwa upinzani kuna maanisha CCM itajikita zaidi katika kutimiza ahadi zake kwa wananchi.
Na chini ya uongozi wa Magufuli ambaye hana makundi kama wengine , na pia ambaye hana kundi la Matajiri nyuma yake.
Magufuli atakuja kuwa rais bora Tanzania sana.