UKAWA umejaa mfumo dume, wanawake msiwape kura

UKAWA umejaa mfumo dume, wanawake msiwape kura

UKAWA Wagombea uraisi na makamu wake wote ni wanaume.Usawa mnaopigania wanawake na wanaharakati uko wapi?
CCM imeonyesha njia kuweka usawa Kwa kumweka mwanamke kama mgombea mwenza.Pigieni kura ya ndiyo CCM kupigia kura ya ndiyo UKAWA ni kuupa mfumo dume madaraka.Midume mitupu ikikaa kwenye ofisi kazi yao ni kujadili mambo yao ya kidume na kusahau wanawake.

Enzi hizi ni enzi za usawa.

kweli nape kakufanyia kitu mbaya,ulikuwa hujui huyu jamaa anapenda sana tigo ee,shauri yako mafla yote itafumuka
 
Back
Top Bottom