Kwakuwa matokeo yameshatangazwa na "rais" kujulikana tunaomba UKAWA sasa watuwekee matokeo halisi kutoka majimboni vs matokeo ya nec ili tuone uchakachuaji ulivyofanyika maana wengi tunahamu ya kujua ilikuwaje kura zikawa zinaongezeka na kuhamia kwa mgombea mwingine. Pls tuwekeeni takwimu sahihi kama mlivyokusanya kwani sasa hivi sio dhati kwakuwa nec wameshatangaza ya kwao

Ushahidi umeshapelekwa mahakama za kimataifa, subirini kuisoma namba tu!
Elimu yako ni sawa na ile ya FaizaFoxy , afraiding ndio nini?nilishasema hapa we know what we are doing.....we are not afraiding of anything they are doing.....
Elimu yako ni sawa na ile ya FaizaFoxy , afraiding ndio nini?
Lowasa aliahidi ELIMU * ELIMU* ELIMU mkamuibia kura, ona sasa!
Tumepeleka kwanza ICJ! Ni ushahidi na upo mahakamani! Iko siku!!
Ushahidi umeshapelekwa mahakama za kimataifa, subirini kuisoma namba tu!
Naomba msaada wa maarifa hivi hizo mahakama za kimataifa zinaweza kubatilisha uchaguzi wa rais ili urudiwe???????
Tafadhali majibu...maana huku mtaani wana ukawa wamekesha wakishangilia kuwa uchaguzi utarudiwa kwakuwa mahakama ya kimataifa itaagiza hivyo.
Ni hivi wapumbavu na misukule ya mbowe ndio wanaoamin kuwa kura zao zimeibiwa
Vyama vyote vilivyoshiriki vilipewe mda wa kuhakiki na kujiridhisha. Na matokeo hayo kama yanafanana na yale ya mawakala , wote wameridhia na wamejaza forms ,kasoro vyama viwili tu CDM na chauma . Sasa watu wanakomaa tu wameibiwa wameibiwa sijui tuwasaidie je