UKAWA, tunaomba matokeo halisi ya Urais kutoka majimboni vs Yaliyotangazwa na NEC

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,304
12,965
Kwakuwa matokeo yameshatangazwa na "rais" kujulikana tunaomba UKAWA sasa watuwekee matokeo halisi kutoka majimboni vs matokeo ya nec ili tuone uchakachuaji ulivyofanyika maana wengi tunahamu ya kujua ilikuwaje kura zikawa zinaongezeka na kuhamia kwa mgombea mwingine. Pls tuwekeeni takwimu sahihi kama mlivyokusanya kwani sasa hivi sio dhati kwakuwa nec wameshatangaza ya kwao
 
Naunga mkono hoja.....itakuwa vema zaidi wakiweka matokeo scanned yaliyosainiwa na mawakala against yale ya nec.
 
Kwakuwa matokeo yameshatangazwa na "rais" kujulikana tunaomba UKAWA sasa watuwekee matokeo halisi kutoka majimboni vs matokeo ya nec ili tuone uchakachuaji ulivyofanyika maana wengi tunahamu ya kujua ilikuwaje kura zikawa zinaongezeka na kuhamia kwa mgombea mwingine. Pls tuwekeeni takwimu sahihi kama mlivyokusanya kwani sasa hivi sio dhati kwakuwa nec wameshatangaza ya kwao

ita saidia nn ss
 
Attachments

  • 1446314875543.jpg
    1446314875543.jpg
    7.5 KB · Views: 770
Kwakuwa matokeo yameshatangazwa na "rais" kujulikana tunaomba UKAWA sasa watuwekee matokeo halisi kutoka majimboni vs matokeo ya nec ili tuone uchakachuaji ulivyofanyika maana wengi tunahamu ya kujua ilikuwaje kura zikawa zinaongezeka na kuhamia kwa mgombea mwingine. Pls tuwekeeni takwimu sahihi kama mlivyokusanya kwani sasa hivi sio dhati kwakuwa nec wameshatangaza ya kwao

Ni hivi wapumbavu na misukule ya mbowe ndio wanaoamin kuwa kura zao zimeibiwa
Vyama vyote vilivyoshiriki vilipewe mda wa kuhakiki na kujiridhisha. Na matokeo hayo kama yanafanana na yale ya mawakala , wote wameridhia na wamejaza forms ,kasoro vyama viwili tu CDM na chauma . Sasa watu wanakomaa tu wameibiwa wameibiwa sijui tuwasaidie je
 
Naomba msaada wa maarifa hivi hizo mahakama za kimataifa zinaweza kubatilisha uchaguzi wa rais ili urudiwe???????

Tafadhali majibu...maana huku mtaani wana ukawa wamekesha wakishangilia kuwa uchaguzi utarudiwa kwakuwa mahakama ya kimataifa itaagiza hivyo.
 
Ushahidi wote umepelekwa mahakamani , tusijadili jambo lililoko mahakamani tutaingilia ushahidi .
 
Kwakuwa matokeo yameshatangazwa na "rais" kujulikana tunaomba UKAWA sasa watuwekee matokeo halisi kutoka majimboni vs matokeo ya nec ili tuone uchakachuaji ulivyofanyika maana wengi tunahamu ya kujua ilikuwaje kura zikawa zinaongezeka na kuhamia kwa mgombea mwingine. Pls tuwekeeni takwimu sahihi kama mlivyokusanya kwani sasa hivi sio dhati kwakuwa nec wameshatangaza ya kwao

Kwani ule ushaidi waliokuwa nao juu Lowassa uko wap
Mtasubiri sana hayo matokeo
Wapinzani wa bongo tumewazoea
 
Uwe na subira majibu soon kutoka mahakama ya ICJ watatoa Tulimumu
 
Last edited by a moderator:
Elimu yako ni sawa na ile ya FaizaFoxy , afraiding ndio nini?

Lowasa aliahidi ELIMU * ELIMU* ELIMU mkamuibia kura, ona sasa!

hehehe lakini umeeelewa sio???kama hujaelewa njoo lumumba tukuelekeze vizuri wakati nyie mkihangaika kujidai mnatafuta haki ambayo hamstahili,sisi tunaendelea kuunda jopo letu la mawaziri likiongozwa na magufuli na prime minister lukuvi not yet confirmed
 
polisi watakuja kutukamata na kusema tunaingilia kazi ya nec kama kituo cha haki za binadamu walivyokamatwa so kwa hili halitawezekana
 
Naomba msaada wa maarifa hivi hizo mahakama za kimataifa zinaweza kubatilisha uchaguzi wa rais ili urudiwe???????

Tafadhali majibu...maana huku mtaani wana ukawa wamekesha wakishangilia kuwa uchaguzi utarudiwa kwakuwa mahakama ya kimataifa itaagiza hivyo.

ndio wanaweza kum batilisha huyu rais.. na serikali ikijifanya kichwa ngumu.. tz inapewa sanctions.. mfano burundi now, ila pia jpm hatatambulika kimataifa... atakua rais wenu.. mtashinda nae magogoni mkicheki vipindi vya tv
.... hapa alipo ni rais wa tanganyika... mana hadi muda huu... znz haitambui uchaguzi ulofanyika... na sjui hilo bunge litakuaje baada ya wiki mbili..
 
Ni hivi wapumbavu na misukule ya mbowe ndio wanaoamin kuwa kura zao zimeibiwa
Vyama vyote vilivyoshiriki vilipewe mda wa kuhakiki na kujiridhisha. Na matokeo hayo kama yanafanana na yale ya mawakala , wote wameridhia na wamejaza forms ,kasoro vyama viwili tu CDM na chauma . Sasa watu wanakomaa tu wameibiwa wameibiwa sijui tuwasaidie je

UKAWA na CHAUMA ndio vyama hivyo vingine ni succos tu.
 
Back
Top Bottom