UKAWA Tumeweza

UKAWA Tumeweza

Joined
Jun 7, 2015
Posts
47
Reaction score
5
amin usiamini kukatwa jina LA fisadi low as a ni hofu ya ccm dhidi ya UKAWA, sasa kilicho salia ni oktoba 25/2015.wananchi kujitokeza na kupiga kura kwa wingi. viva UKAWA
 
Lowasa angepitishwa UKaWa wangepita kusalimia Watanzania na wala si kupiga kampeni. Walikuwa wanashinda alfajiri, hata kabla vituo vya kura havijfungliwa!.
 
Kuna watu wanadharau upinzani, lakini kama si upinzani leo hii ccm wangemuweka Chenge awe mgombea Urais
 
kwa jinsi wananchi walivyoichoka ccm huku site UKAWA njia. nyeupe Ikulu
 
Ninyi CCM muwe wapole mwaka huu watanzania tutawaonyesha rasmi kuwa tumeichoka CCM na hatuitaji mtu yeyote toka chama chenu,tunawapiga chini mchana kweupe hamta amini.Huyo mtu wenu JPM alisema mwacheni Jk azurure kutafuta hela duniani sasa huyu ndio walewale kasoro sura tu,sasa mjiandae kisaikolojia oktoba 25. Uongo wenu umetuchosha kwa miaka mingi CCM baibai tunakuaga baibai.
 
Back
Top Bottom