UKAWA tuache kulalamika,tujibu mapigo

Aliyekuwa anajibu hoja ndo anawabomoa sahiv
 
sasa hiyo inasaidia nini. yote hayo ni matunda ya rushwa na maadili kwa ujumla. kwa kuwakumbatia wagombea wa ccm waliokatwa kwa ufisadi kama wagombea wenu hamna tena moral authority. wenzenu watasema japo tumewatimua na nyinyi mmewanyakua..hamna cha kufanya fungeni mdomo kuhusu ufisadi.
 

Hao UKAWA jamaa yangu ni manunda na maamuma wa kutupwa kiasi hata mimi naanza kuwashitukia kama kweli wako siriaz kuchukua nchi au ni maonyesho. Yani wameshindwa kabisa hata kuibeba agenda yao ya katiba ya wananchi ambayo ndio muarobaini wa ufisadi na maadili ya uongozi wanadandia hoja nyepesi za kuorodhesha ahadi kama wenzao ambapo watu hatajua wamwamini nani. La katiba ya wananchi ni la uhakika na linajibu hoja zote; ufisadi, maadili, pesa zitapatikaje, nk lakini wanakimbia kimbia tu bila agenda. Wenzao hawana agenda na wao wanaonekana hawana agenda ndio mana hata ufisadi na matope ya kina silaha yanaonekana bomba na agenda muhimu; kumbe majibu yote yapo ndani ya katiba mpya lakini wamekuwa vipofu. Tumewashauri weeee mpaka tumechoka ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa. Ama kweli la kuvunda halina ubani; wanadhani nchi inachukulika kimzaha mzaha tuuuu
 
Ni wakati wa kwenda kwa wananchi kuuza Ilani ya UKAWA.
 

Molemo tukifanya hivi nao wataacha kurusha hayo matangazo yao vinginevyo tutaendelea kulalamika na hakuna hatua zitazochukuliwa na kibaya zaidi muda nao unakwenda huku wao wanajinadi na kutupunguzia kura kwa matangazo yao hayo.

Tubadilike makamanda.
 
Last edited by a moderator:
nilifikiria kitu kama hicho baada ya kuona ya ccm star tv,ingekuw safi sana.
 
Yani mnakaa na kufikiria ujinga na uongo, sasa ukiweka hao twiga ndo wanapiga kura? nyie mmlaumu Mbowe kuuza chama na nyie mkiwemo humo humo. na ndo maana mnaangaika sana, na huu uchaguzi msigepata shida.

Ila kwa tamaa yenu ya pesa za fisadi ndo zimewafikisha hapa, mlikuwa na nondo za kutosha kumchambua Lowasa kama angepitishwa na ccm, uone Mungu alivyo waajabu na hamfichi mnafiki, kawashushia hill zigo(zimwi) sasa limeanza kuwatesa, huku mara Prof. Lipumba kakimbia, huku tena Dr.Slaa na yy kakimbia, je nyie mtaliweza hilo zimwi? ccm wamepumua na ss wanapiga kampeni zao kwa raha, sasa waasisi wa ufisadi leo na wao wako kimya utadhani wamehama tz, waoa sasa ndo wanasafisha ufisadi na rushwa kuwa ndo sifa ya kupata nafasi kubwa ndani ya chadema na UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…