UKAWA sioni atakayepata jimbo

Kuna watu wanafikiri kwa kutumia ubongo wa watu wengine, mtoa mada anatumia ubongo wa fisadi moja huko kwenye chama la mafisi kufikiri.
 
lete rekodi za uchaguzi serikali za mitaa
 

Hivi unaposikia Lumumba hulipa buku saba kwa kila post ya kuukandia ukawa inayotumwa humu jamvini nawe ukadhani una uwezo huo? Hivi hata ukirudia kusoma ulichokiandika mwenyewe kinaeleweka? Hivi hayo majimbo unayodai kuyatembelea likiwemo na jimbo la Hai ulilokuta likiongozwa na mh.Tundulisu ulikuwa ukijitambulisha kama nani? Bila shaka ulitembelea na jimbo la Singida Mashariki na kufahamishwa linaongozwa na mh. Freeman Mbowe. Kwa uelewa huu sipati picha yule mtia nia ya uraisi wa darasa la saba wa chama chenu toka Kasulu atajielezaje na kuyajibu maswali ya waandishi na wananchi. Nakushauri endelea kutafuta vibarua mitaani Lumumba hawalipi vitu kama hivi.
 
Hahaha watu wengine wanakuwa kama wanaongea kupitia makalio! Lini graph ya Chadema ikashuka? Na sasa ni ukawa? Unaota
 
Enyi moderators mturudishie jamii forum iwe kama ile ya zamani, kwa sasa naona mtu anaposti ujinga ujinga halafu uzi wake unaachwa
 
Enyi moderators mturudishie jamii forum iwe kama ile ya zamani, kwa sasa naona mtu anaposti ujinga ujinga halafu uzi wake unaachwa

hasa wale wanaotukana mtoa mada yeye muono wake sasa ni kosa?
 
ccm mwaka huu bila kubebwa na polis wana wakati mgumu sana kwenye uchaguzi...
 



ujinga mtupu,Tundu ni wa jimbo la Hai?kweli?
 

je wakipata uko tayari kuwapa?
 
............ Jinsi kijana anavyobadili tabia, inavyoonekana amesahau mila za mtanzania...........
 
wewe huna uelewa wa kutosha mpaka hapo ulipofikia, Tundu Lisu ni mbunge wa Hai kama ulivoandika? watu wengine mngekuwa mnaacha kuandika humu, maana ni wajinga mno..
 
Bangi za ngaramtoni katika ubora wake
 
Dah! Mkuu kumbe umejiunga tarehe 7/6/2015. hata mwezi haujaisha unapost utumbo hivyo! Uwiiiii sijui mwezi ukiisha hali itakuwaje.
Kingine ni kwamba hicho ulichoandika ni woga unatafuta kujifariji bure mkuu. na jinsi ambavyo hujielewi unatuambia Jimbo la Hai ni la Tundu Lissu? Mmmmmmmm! aliyekutuma atakudai hela zake, umeshindwa kumfanyia kazi yake vizuri.
 
inaeleweka tundu lisu singida ukisema hai ni mkuu wenu wa chama mbowe(chasaka)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…