UKAWA sio Mbowe wala Lowassa

UKAWA sio Mbowe wala Lowassa

Joined
May 3, 2012
Posts
73
Reaction score
37
Jambo kubwa wana wa ugambani wanashindwa kutambua ni kwamba Ukawa sio ya Mbowe sio ya Mbatia sio ya Lowassa wala ya sio ya kiongozi yoyote ndani ya Ukawa hii ni mali ya wananchi waliochoka udhalimu wa CCM na wanaotaka mabadiliko hata CCM wawanunue viongozi wote wa juu wa Ukawa hata wakimnunua Lowassa mwenyewe UMMA ushaamua kuwaondoa na utawaondoa iwe jua iwe mvua mi naona wanapoteza muda kununua sijui wasanii mara viongozi wa Ukawa ili umoja huu upate mpasuko mfano mzuri kaondoka Daktari wa Kanoni bado watu wako imara hata akiondoka Mbowe mabadiliko hayaepukiki hio Bilioni 150 naomba muitunze mje kuitumia kujenga chama cha upinzani imara baada ya tarehe 25 Oktoba labda mnunue watanzania wote ndo mnaweza kupata ahueni kidogo.
UKAWA MBELE KWA MBELE
 
Back
Top Bottom