UKAWA sasa tabaani

Mr Chin

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
4,625
Reaction score
1,024

Huyu ni Vladimir Putin akipiga push ups


Huyu ni Barack Obama akipiga push ups


Huyu ni John Magufuli akipiga push ups


Huyu ni Edward Lowassa akisaidiwa kupanda ngazi za jukwaa


Picha hizi ni ushaidi tosha kuwa Lowassa ni dhaifu na hana sifa za Urais ambaye ni Amiri Jeshi Mkuu.
 
Usimchezee Mmasai wewe. Akipandisha mori hapo atakupa tano za haraka haraka na kutetemeka kwake hivyo hivyo. Ama kweli mens sana incopore sano!
 
Hahaa nimekukubali kwa udondozi wa picha ila mabadiliko hayahitaji push ups
 
Mr Chin weka picha video ya JK akidondoka jangwani
 
Last edited by a moderator:
hongera magufuli kwa kutambua na kutendea haki kipaji chako,hakika utakua bodyguard mzuri kwa raisi E.Lowassa
 
Kwani Lowassa alishaanguka jukwaani kama mzee wa Tezi Du...tazama tofauti ya push up ya Obama na Mr Kidevu mzee wa raisi wa Kuwait ni Saddam Hussein matako juuuuu kama gay anatakiwa anyooke sio kuinua makalio....CCM OUT
 
hiyo ya obama na putin ndo push up hiyo ya magufuli jina lake bado makalio yote juuu
 
mzee kachoka sana ila kwa sababu mbowe ni mafia yupo taari amwone babu anakufa but si kumwona /kumshauri aachane na siasa
 
watanzania tuna macho lakini hatuoni kwanini m2 uwe na uchu wa madaraka waachie vijana waongoze!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…