UKAWA rudisheni wanafunzi

UKAWA rudisheni wanafunzi

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
16,252
Reaction score
16,171
Kama mna uhakika kuwa wapo wanafunzi wa vyuo ambao ni wapenzi wa UKAWA ambao wamejiandikisha lakini hawatapiga kura kwa sababu ya kuwa likizo mbali na walikojiandikisha ni vema mkaratibu mapema zoezi la kuwatambua wale watakaokosa uwezo wa kurudi kwenye maeneo yao ya kupigia kura ili waje kupiga kura.

Itakuwa gharama lakini haina budi iwe sehemu ya gharama zenu za uchaguzi. Msipoteze kura yenu hata moja. Mkifanya hivyo njia hii ya kuwakosesha wanafunzi kupiga kura haitatumika tena kama mbinu chafu ya kushinda uchaguzi siku zijazo.
 
Kama mna uhakika kuwa wapo wanafunzi wa vyuo ambao ni wapenzi wa UKAWA ambao wamejiandikisha lakini hawatapiga kura kwasababu ya kuwa likizo mbali na walikojiandikisha ni vema mkaratibu mapema zowezi la kuwatambua wale watakaokosa uwezo wa kurudi kwenye maeneo yao ya kupigia kura ili waje kupiga kura. Itakuwa gharama lakini hainabudi iwe sehemu ya gharama zenu za uchaguzi. Msipoteze kura yenu hata moja. Mkifanya hivyo njia hii ya kuwakosesha wanafunzi kupiga kura haitatumika tena kama mbinu chafu ya kushinda uchaguzi siku zijazo.

kama watakuwa rikizo, wanashauriwa kwenda kwa wakurugenzi wilaya kurejebisha kumbu zao na kubadili vituo vya kupigia kura
 
Kama mna uhakika kuwa wapo wanafunzi wa vyuo ambao ni wapenzi wa UKAWA ambao wamejiandikisha lakini hawatapiga kura kwasababu ya kuwa likizo mbali na walikojiandikisha ni vema mkaratibu mapema zowezi la kuwatambua wale watakaokosa uwezo wa kurudi kwenye maeneo yao ya kupigia kura ili waje kupiga kura. Itakuwa gharama lakini hainabudi iwe sehemu ya gharama zenu za uchaguzi. Msipoteze kura yenu hata moja. Mkifanya hivyo njia hii ya kuwakosesha wanafunzi kupiga kura haitatumika tena kama mbinu chafu ya kushinda uchaguzi siku zijazo.
Huo ushauri anapewa mangi, au nani!
 
Waliambiwa wakatoe riport kwa mkurugezi wa wilaya wa mahali walipo sasa ili waweze kutambuliwa na wataruhusiwa kupiga kura.
 
Kavulata umetoa wazo zuri sn, litafanyiwa kazi na wahusika
 
Wakawa Wanipe hiyo pesa aisee, niipige kimya kimya, lkn kwenye kiboxi namchinja fisadi. Huu ndio msimamo wa wanazuoni.
 
Mkuu kweli asee naona wanafunzi wa vyuo wanapoteza haki yao ya msingi kbs
Ni hivi! Vijana wa vyuo vikuu asilimia 80 wameshajitambua na wameshatoa tamko watampigia Magufuli. Kwa topic hii unataka sasa kuravza Magufuli ziendelee kuongezeka au siyo? Kule hakuna chetu. Wengi wao walikuwa pro Dr Slaa na Prof Lipumba. Kwa sababu ndio wasomi wenzao na wanawakubali. Leo hii my friend makamanda hawa wameondoka nao woooote karibu. Wengine aliwachukua Zito kabwe ambaye wanamwita Role modal wao. Kazi ipo! Mwaka huu tutapigwa mpaka tutafute mchawi humu humu ukawa.
 
AMINI USIAMINI CCM CHALI MKOA WA DODOMA. Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma Kila Kona Wanasema Wamechoka Na Manyanyaso Ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Walisema Jana Wakihojiwa Kuhusu Chama Cha Ccm Ikiwa Imezoeleka Kuwa Dodoma Ni Ngome Imara Ya CCM. Walisema Wamechoka Kuomba, Kuishi Nyumba Za Tembe,waliendelea Kuhoji Tangu Ukoloni Hadi Karne Hii Ya Sayansi Bado Wanaichi Kwenye TEMBE. Walisema Wanapenda Na Wanataka MABADILIKO YA LOWASSA!
 
Ni hivi! Vijana wa vyuo vikuu asilimia 80 wameshajitambua na wameshatoa tamko watampigia Magufuli. Kwa topic hii unataka sasa kuravza Magufuli ziendelee kuongezeka au siyo? Kule hakuna chetu. Wengi wao walikuwa pro Dr Slaa na Prof Lipumba. Kwa sababu ndio wasomi wenzao na wanawakubali. Leo hii my friend makamanda hawa wameondoka nao woooote karibu. Wengine aliwachukua Zito kabwe ambaye wanamwita Role modal wao. Kazi ipo! Mwaka huu tutapigwa mpaka tutafute mchawi humu humu ukawa.

Gamba linajifariji....... pole sana
 
Back
Top Bottom