Kama lilivyo jina ni umoja wa katiba kwa hy km ilivyokuwa nia yetu katiba ibadilishwe kwa hy uwepo wenu ni muhimu bungeni kuliko tunavyofikiria vinginevyo hata umoja huu utakuwa hauna maana km endapo katiba haitapatikana
Tujishushe turudi ila vinginevyo kamwe katiba haitabadilishwa hata chama kingine kikashika madaraka kumbukeni yafuatayo
1.Watanzania waliombea mchakato huu so maombi yao yatakua si kitu
2.Fedha imetumika kubwa sana mpaka kufikia hapa na hy fedha itakuwa sifuri yaani ni hasara
3.Watu walitenga mda kwa ajili ya tukio hili sasa na mda ni mali na ndio utajiri wenyewe so mnafanya tuwe maskini kwa sababu ya mda
4.Vipengele tulivyotamani vibadilike havitabadilika Na mengine Mengi KUBADILI MAAMUZI SI DHAMBI