Mwanalinze
Member
- Apr 15, 2014
- 32
- 9
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.Remove zitto,hamad and mchange from this boat please!
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.
kama ni usaka tonge umagambani ndo kwenyewe hasa!Ukawa hawana kipya wale ni wasaka tonge tu hakuna kiongozi pale.
teh teh, na ccm bila nan mambo hayaendi?Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.
Bila zitto hakuna chadema watamrudia tu zitto hawana cha kufanya.
Unapingana na mleta mada?Huu ni upuuzi,hana jipya na zaidi ya hapa jf walipo vibaraka vyake ni wapi kwingine anaongelewa huyo mpuuzi?
Uzi unahusu nguvu y UKAWA, siyo ZITTO ila kwa sababu UKAWA wanajua kuwa muungano wao umetokana na Chadema kudhoofika kutokana na mapigo ya kijana ZITTO basi hawana budi kumpamba asije akubomoa na muungano wenyewekumbe mkuu mlijipanga kuanzisha uzi unaomhusu zitto ili mupate cha kusema??!!...inasikitish sana watu wanaongelea nchi wewe unaongelea mtu mmoja mmoja tena kwa manufaa yenu?
Mbona mnaanza kuweweseka hamjiamini na muungano wenu nini?
CCM ni chama cha siasa siyo SACCOSS kama ilivyo CHADEMA iliyouza hisa zake kwa CUF na NCCR MAGEUZI baada ya mbia mkuu ZITTO kabwe kuamua kukaa pembeniteh teh, na ccm bila nan mambo hayaendi?