nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,628
teh teh,mkuu hilo tonge wanalisakia wapi? Je yale mainterahamwe yaliyojazana pale bungeni yakiendekeza mipasho,kejeli,mipasho, na uchakachuaji kwa kulipwa 300000 kwa siku bure! Hakuna masaka tonge makubwa kama mainterahamwe huko dodoma!Ukawa ni genge la wasaka tonge
teh teh, usifikiri watanzania wa miaka hii ndo wale wa mwaka 47, wananchi wengi wamekasirishwa na kitendo cha maccm kuitupa rasimu yao pembeni na kujadili iliyoandikwa pale ccm makao makuu! Watanzania wanawasihi UKAWA wasiende magogoni wala mjengoni! Waje kwa wananchi.Watanzania wameshakuwa makini kuliko mnavyofikiri, ukawa hauwezi kufanikiwa kuwahadaa hata siku moja.
na mainterahamwe tutawasemeje? Acha kulamba viatu vya mafisadi ndugu..Hilo ni genge la wasaka tonge
Ukawa = umoja wa katiba ya wahuni na wehu
UKAWA inatakiwa iingizwe kwenye katiba kama TUNU ya Taifa
UKAWA wanakubalika na watu wote makini na wapenda haki ingawaje watu makini na wapenda haki ni wachache dunianiLeo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini.
Kilichonishangaza ni pale walipo anza kuimba wimbo wa kuusifia UKAWA ule wimbo maarufu wa CHADEMA (UKAWA)CHADEMA(UKAWA) CHADEMA(UKAWA) PEOPLES POWER.(KATIBA YETU)
Katika kuimba wale madereva bodaboda waliwaunga mkono na kuimba pamoja na kushangilia kwa nguvu
Hapo ulipo nionyeshe ofisi ya chadema ilipo ya wilayaUkishi kwa kupuuza utapata upuuzi bali ni vyema kuamini uongo kuliko ukweli kupuuzwa
Soma alama za nyakati mimi baba ccm mama ccm ndg wote maccm lakini naona ukweli ulipo
Anapaswa kwenda kupiga magoti mbele ya Mungu na kutubu kuruhusu mijadala isiyokuwa maoni ya wananchi. Baada ya kutubu asimamie katiba ya watanzania na si vyama vya siasa.Hahaha ukawa sio kitoto
Na kuna fununu sitta kaenda kupiga magoti znz