Wana jamvi ccm na washirika wao watake wasitake ukawa ni umoja unao undwa na kundi la wazalendo maksusi wa tanganyika na znz,tena kwa ufuatiliaji makini nimegundua ukawa wana ungwa mkono na kundi kubwa la wazalendo wa nchi hizi mbili,wasomi wa juu,wakati na wasomi wa chini pamoja makundi ya dini zote huku baadhi ya wabunge wa ccm pia wakitamani kuwepo ndani ya ukawa maana hoja zao ni tafu na zenye mashiko makubwa kwa taifa