Leo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini.
Kilichonishangaza ni pale walipo anza kuimba wimbo wa kuusifia UKAWA ule wimbo maarufu wa CHADEMA (UKAWA)CHADEMA(UKAWA) CHADEMA(UKAWA) PEOPLES POWER.(KATIBA YETU)
Katika kuimba wale madereva bodaboda waliwaunga mkono na kuimba pamoja na kushangilia kwa nguvu
UKAWA ni chuma cha moto ukikishika unaungua
Wajinga wamejikusanya wakaunda genge la wehu
Hahaha ukawa sio kitoto
Na kuna fununu sitta kaenda kupiga magoti znz
Leo katika pitapita zangu,nimekutana na vijana wawili,watanashati wanasifia UKAWA.Hawa vijana walikuwa karibu na kituo cha bodaboda KLC ,Singida mjini.
Kilichonishangaza ni pale walipo anza kuimba wimbo wa kuusifia UKAWA ule wimbo maarufu wa CHADEMA (UKAWA)CHADEMA(UKAWA) CHADEMA(UKAWA) PEOPLES POWER.(KATIBA YETU)
Katika kuimba wale madereva bodaboda waliwaunga mkono na kuimba pamoja na kushangilia kwa nguvu
Ukishi kwa kupuuza utapata upuuzi bali ni vyema kuamini uongo kuliko ukweli kupuuzwa
Soma alama za nyakati mimi baba ccm mama ccm ndg wote maccm lakini naona ukweli ulipo
Wkt tunajadili hili suala tusiwe bias sana nafikiri hapa pande zote zinahoja za msingi kikubwa ni kukaa na kuafikiana kuwa tufanye nini ili nchi iende mbele!Ukowa bias ofcourse wala hautaona tatizo liko wapi au hoja ya msingi imelala upande gani lazima tujiweke kati ili tuwe na right direction not immotionaly motivated!!!!
Ukawa si ndio hawa wavuta bangi na wanywa gongo wanaotukana waasisi wa taifa hili?