UKAWA ni kituko

Inasikitisha sana tena sana eti ukawa wamejipanga kushinda uchaguzi utakaofanyika oktoba,2015.
Unafikiria kwakutunia nini viongozi wako wanahongwa mamilioni na wahindi we unahogwa wali maharage mabovu unakula unavimbiwa unaanza kujamba hovyo
 
Watu wataingia chaka kama walivyoingia chaka 2005..........

Ila watz wasahaulifu sana



 

Kwahiyo tuwaamini vp hawa kenge wiki nzima wanalumbana kumsimamisha mgombea.
 

PNC watanzania Kama mazombi au misukule sisi!!
We are expecting a different results simultaneously from the same inputs!!!
UPINZANI ukishindwa MWAKA huu nashauri wastaafu siasa afu BLACK COLONIALISTS CCM waibe tuu hata wake na watoto wetu na wawafanye watakavyo PENGINE tutarudia akili zetu"!!
Mitanzania HATUBEBEKI!!!!
 
Last edited by a moderator:

PNC watanzania Kama mazombi au misukule sisi!!
We are expecting a different results simultaneously from the same inputs!!!
UPINZANI ukishindwa MWAKA huu nashauri wastaafu siasa afu BLACK COLONIALISTS CCM waibe tuu hata wake na watoto wetu na wawafanye watakavyo PENGINE tutarudia akili zetu"!!
Mitanzania HATUBEBEKI!!!!
 
Last edited by a moderator:
Azam tv wanaripoti Lipumba kasusa kaondoka kikaoni na Sakaya anasema sahivi Ukawa kumeibuka mambo mengi sana ndo maana hari imekuwa tete ..Ukawa vipi tena maji ya shingo?
 

Watanzania tuko poa sana sema Ukawa wenyewe ndo mburura kwasababu haiwezekani miezi yote hiyo wanashindwa kuelewana eti kisa wanagombea madaraka, hivi hawa wataongoza nchi ama watalenga madaraka? kama wanakuja kututumikia kwanini wanagombea vyeo? wamesahau vyeo ni dhamana ama nao ndo walewale wa kuchuma? ni wapuuzi sana hawa jamaa.
 
Last edited by a moderator:
Nashangaa watanzania kulogwa kiasi hichi
Magufuli ni walewale kasoro Majina Mfumo no uleule Mtashangaaàaaaaaaa!!!!!!!! baadaye

Sasa sisi wananchi tufanyeje kama Ukawa wenyewe kumbe wametolea macho madaraka? watumishi kweli kweli wa umma hawagombei vyeo bwana, hawa wanatupa mashaka nao tena makubwa ..wewe miezi minne yote mnajadiri rais? na bado hapatikani alafu unawalaumu watz kwa lipi hapo?
 
Huamini nani anaenda vitani anadai atashindwa kuwa makini

Kwani kuingia kwenye uchaguzi ni kuingia vitani? Au hujui maana ya vita? Je TUME YA UCHAGUZI inaruhusiwa kikatiba kutangaza Vita? mleta post acha ujinga kama wana UKAWA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…