UKAWA nanyie mpitilize muda siku ya ufunguzi

UKAWA nanyie mpitilize muda siku ya ufunguzi

ZigiZaga

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
957
Reaction score
1,080
Jana magufuri alihubiri had I SAA 1:38 bila onyo lolote, Nawasihi ukawa nanyie mfanye hivyo! Hii nchi niyetu sote
 
dhalau zimezidi muraaaa....
tunyooshane kidogo kujengeana heshima....haiwezekan kila aina ya tusi mtu unatukanwa bila 7bu
 
ni kwel hapo ndipo tutaona weredi wa jeshi la polisi#####
 
Ahahah alisema sumaye hakuna tofauti ya dola na ccm
 
Kama ni Jangwani basi tutoke saa 1:30 usiku au saa 2 kabisa, na ole wao hao poliCCM walete fyokofyoko, uwanja wa Jangwani utageuka Bujumbura.
 
Tusubiri na tuone, ukipita huo muda nakupiga faini laivu laivu.
Na lazima ulipe.

Hahaaa..mkuu naambiwa baada kujionea hali halisi sasa mnahaha kumtafuta mrithi wa EL..naambiwa ni Sumaye...hivi kweli!! Kutoka moyoni, matumaini bado yapo hapo?
 
Hahaaa..mkuu naambiwa baada kujionea hali halisi sasa mnahaha kumtafuta mrithi wa EL..naambiwa ni Sumaye...hivi kweli!! Kutoka moyoni, matumaini bado yapo hapo?

Wallah naapa hakuna cha kunibadilisha.
NINA MATUMAINI NA IMANI NA LOWASSA, HATA AKIPANDA JUKWAANI NA MACHELA NITAMCHAGUA TU!
 
Muitwe tu wapumbavu hasa viongozi wenye makengeza mazito
 
Mi kwakweli hata siwaelewi ukawa sasa hivi nini kimewakumba? mbona mmekuwa kimya kiasi hicho! naanza kutafakari yale maneno ya jk ya moto wa mabua.
 
Jana magufuri alihubiri had I SAA 1:38 bila onyo lolote, Nawasihi ukawa nanyie mfanye hivyo! Hii nchi niyetu sote

Nililiona hilo hata mimi mkuu. Nikajiuiza ingekuwaje kama wangekwa ni wapinzani?? Vurugu nyingi Tanzania huanzishwa na Polisi ambao pia hushinikizwa na serikali ya chama tawala.
 
Back
Top Bottom