VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
- Thread starter
- #21
hivi mzee tupatupa ulishawai kuipigia sisiemu kura.??
si kweli Mzee Tupa Tupa yuko Lumumba Mimi namfahamu kwa sura Ni mzee kwenye hekima na busara lakini Kinana ameshindwa kumtumia kukiimarisha chama badala yake anamtumia Nape ambaye kila anakokwenda anachafua hali ya hewa na kuzidi kukisambaratisha chama.huyo mzee yuko hapo Ufipa anasugua mabenchi hapo, Anasubiri kutumwa dukani kuwanunulia vocha mbowe na slaa, chenji ikibaki ndio anunulie bundle la kuja kumwaga pumba huku jf
Shukrani
Mzee Tupatupa
Mzee Tupatupa huwa sikumalizi, unavyoyagonga maccm za kwenye chembe! Big up kiongozi Mkuu!
huyo mzee yuko hapo Ufipa anasugua mabenchi hapo, Anasubiri kutumwa dukani kuwanunulia vocha mbowe na slaa, chenji ikibaki ndio anunulie bundle la kuja kumwaga pumba huku jf