UKAWA na Katiba

UKAWA na Katiba

Nnangale

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2013
Posts
2,661
Reaction score
1,384
Mheshimiwa habari za kampeni naona kama mnaendelea vyema, suala la katiba mpya silisikii tena kwenye kampeni zenu naomba suala hili lipewe uzito kwani ndilo linalo weza kuleta ufumbuzi wa matatizo mengi yanayo wakabili watanzania kwa sasa,kampeni njema.
ukawa -ilitokana na muunganiko wa vyama ambao lengo kuu ilikua ni kuikataa katiba iliyopendekezwa na ccm na kuipigania ipite rasimu ya warioba, swali je leoo hiii katika mizunguko yooote za UKAWA umewah kumsikia lowassa akisema atapigania rasimu ya warioba? katika ukawa je umewah skia tena suala la katiba likiwa kipa umbele katik kulizungumzia na katika ilani ya ukawa na chademaaaaa??
 
Hilo neno la Katiba mpya hata lisipozungumziwa kwenye mikutano lakini neno UKAWA linawakilisha vyema maana halisi ya nini kinachosimamiwa kwani hawezi kupatikana Rais kupitia UKAWA halafu akaiunga mkono ile katiba ya maCCM.
 
kweli kabisa ndio linalosadifu katiba
 
Inatakiwa kila wanapokuwepo waanze na swala la katiba ambalo limewafanya wawe pamoja na waeleze pia kuwa ccm wametumia pesa kiasi gani bila kupata katiba ya wananchi.
 
UKAWA ilitokana na muunganiko wa vyama ambao lengo kuu ilikua ni kuikataa katiba iliyopendekezwa na CCM na kuipigania ipite rasimu ya Warioba.

Swali je leo hiii katika mizunguko yote za UKAWA umewahi kumsikia Lowassa akisema atapigania rasimu ya Warioba? katika UKAWA.

Je umewahi sikia tena suala la katiba likiwa kipa umbele katika kulizungumzia na katika ilani yaUKAWA na CHADEMA?
 
ukawa -ilitokana na muunganiko wa vyama ambao lengo kuu ilikua ni kuikataa katiba iliyopendekezwa na ccm na kuipigania ipite rasimu ya warioba, swali je leoo hiii katika mizunguko yooote za UKAWA umewah kumsikia lowassa akisema atapigania rasimu ya warioba? katika ukawa je umewah skia tena suala la katiba likiwa kipa umbele katik kulizungumzia na katika ilani ya ukawa na chademaaaaa??

UKAWA hawana shida ya maadili tena. Ndio maana rasimu ya Warioba sio muhimu kwao kwa sasa. Wao jambo la msingi ni kwenda Ikulu kwa gharama yoyote ile.
 
mkuu achana na hilo je umewahi kusikia lowasa akitamka neno ufisadi achilia mbali kuwa na Sera ya mapambano dhidi ya ufisadi
 
ukawa -ilitokana na muunganiko wa vyama ambao lengo kuu ilikua ni kuikataa katiba iliyopendekezwa na ccm na kuipigania ipite rasimu ya warioba, swali je leoo hiii katika mizunguko yooote za UKAWA umewah kumsikia lowassa akisema atapigania rasimu ya warioba? katika ukawa je umewah skia tena suala la katiba likiwa kipa umbele katik kulizungumzia na katika ilani ya ukawa na chademaaaaa??

Lowasa ashalisemea sana swala la katiba mpya na hata alipokuwa Zanzibar akitafuta udhamini na siku na uzinduzi jangwani mgombea mwenza tulimwona na kumsikia akieleza kuwa katiba mpya ndo kipaumbele.
Mwisho, kama haulewi maana ya MABADIRIKO pole sana. Asiyejua maana (CCM) haambiwi maana.

Ni Lowasa tu Oktoba 25.
 
imesimamishwa unaiongelea ili nn?angalia sera ktk siii sera
 
Back
Top Bottom