Ukawa na katiba pendekezwa

Ukawa na katiba pendekezwa

Kamanda Kazi

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
2,613
Reaction score
798
Hakuna kilichowatia hofu ukawa kususia kura ya maoni zaidi ya matokeo ya uchaguzi wa serikal za mitaa na ziara za kinana bara na zenj. Poleni sana ukawa.
 
Yaani nawe kutoka kwenye uzi finyu wa MwanaDiwani umepata uzi? Du! Nyinyi watu wa ajabu sana. kulichi ndiyo umefikia kiwango duni hivi?
 
Last edited by a moderator:
Unataka ipite katiba mbovu baadae mseme na UKAWA walipiga kura, sio???
 
Walisusa kwa sababu CCM waliweka mapendekozo yawananchi pembeni leo lissu kaongea vizur sana kwenye mkasi show
 
Hakuna kilichowatia hofu ukawa kususia kura ya maoni zaidi ya matokeo ya uchaguzi wa serikal za mitaa na ziara za kinana bara na zenj. Poleni sana ukawa.

Niambie kilaza wangu....wewe jamaa Kwa jinsi unavyo weka mada zako Kama una umri juu ya miaka 13 basi unatatizo kubwa sana
 
Back
Top Bottom