Kwa upande mwingine vijana wengi tunaamini katika muundo wa seriakli mbili siyo hizo tatu za ukawa ni mbili tu kama ummy mwalimu anavyokuonesha kweny hii picha alipokuwa zanzibar.
Kwa upande mwingine vijana wengi tunaamini katika muundo wa seriakli mbili siyo hizo tatu za ukawa ni mbili tu kama ummy mwalimu anavyokuonesha kweny hii picha alipokuwa zanzibar.
Nyinyi vijana wa maskani za ccm munatumiliwa kwa buku 7 wakati akina ummi mwalim yk yanamuendea sawia.,
Halafu huyu dada ummi mwalim nimemfuatilia sn maneno yk hajawahi kupangua hoja hata 1 ya ukawa zaidi ya matusi na mipasho kama mdomo wk ulivyo., ni chakula cha mabosi tu haonekan kuwa na elimu ata ya form one.,