Ni Hivi majuzi tumewasikia vijana wa BAVICHA wakitangaza eti watakwenda Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM na kwa hakika niliwaonea huruma.
Lakini Imekuwa Kila Siku wanaibuka Kila Mkoa nakuropoka tu kuwa Wataenda Kukwamisha Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Nashangaaa....!
Hivi ndio kusema ubunifu wa vijana wa UKAWA umefikia mwisho kabisa hapa nchini Tanzania?
Kweli vijana ambao walikuwa wakijipambanua kuwa wao ni mahiri na wazungumza hoja kumbe hizi ndio Hoja za kuzuia Mkutano wa Ndani wa CCM?
Kijana Sosopi, Patrobas nawengineo mmefilisika kwa Mwendo kasi mpaka leo mmefikia hatua hii! Hizi ndo siasa za sasa kweli naanza kuamini maneno ya Prof Kitila Mkumbo aliposema "Upinzania Tanzania utajimaliza wenyewe kwa kutegemea udhaifu wa serikali"
Wako wapi vijana wa Chadema waliokuwa na hoja za kufikirisha hadi sasa zinaibuka hoja za kufilisika?
Nimeandika haya leo, kimsingi ni kuwatakia kila la kheri katika azma yao hiyo!
Lakini kwa kuwa vijana hawa wanasema kisha ndipo wanafikiri, basi wakiwa wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, nawakumbusha tu haya;
1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote;
2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka;
Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo.
Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka.
Lazima tuweze kutofautisha Siasa na Matamko ya kisiasa.
Nawakumbusha tu kuwa 65% ya washiriki wa Mkutano mkuu wa CCM ni Vijana.
Ivo Tunawakaribisha na tutawapatia Dawa Stahiki Nakuwatimizia Hitaji lenu kisawasawa kulingana na Uhitaji wenu.
Kumbukeni tu! CCM Tumejipanga, na CCM ni Ile Ile ya Mbelee kwa Mbeleee..
Hapa Kazi Tu!
By Peter Dafi
Mtetezi wa Wanyonge.

Bavicha mbona wamemwacha Magufuli kuhutubua Baraza la Iddi? Hiyo si ni siasa? Si walisema wanasaidia poludi kuzuia mikutano ya CCM? What happened.Ni Hivi majuzi tumewasikia vijana wa BAVICHA wakitangaza eti watakwenda Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM na kwa hakika niliwaonea huruma.
Lakini Imekuwa Kila Siku wanaibuka Kila Mkoa nakuropoka tu kuwa Wataenda Kukwamisha Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Nashangaaa....!
Hivi ndio kusema ubunifu wa vijana wa UKAWA umefikia mwisho kabisa hapa nchini Tanzania?
Kweli vijana ambao walikuwa wakijipambanua kuwa wao ni mahiri na wazungumza hoja kumbe hizi ndio Hoja za kuzuia Mkutano wa Ndani wa CCM?
Kijana Sosopi, Patrobas nawengineo mmefilisika kwa Mwendo kasi mpaka leo mmefikia hatua hii! Hizi ndo siasa za sasa kweli naanza kuamini maneno ya Prof Kitila Mkumbo aliposema "Upinzania Tanzania utajimaliza wenyewe kwa kutegemea udhaifu wa serikali"
Wako wapi vijana wa Chadema waliokuwa na hoja za kufikirisha hadi sasa zinaibuka hoja za kufilisika?
Nimeandika haya leo, kimsingi ni kuwatakia kila la kheri katika azma yao hiyo!
Lakini kwa kuwa vijana hawa wanasema kisha ndipo wanafikiri, basi wakiwa wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, nawakumbusha tu haya;
1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote;
2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka;
Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo.
Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka.
Lazima tuweze kutofautisha Siasa na Matamko ya kisiasa.
Nawakumbusha tu kuwa 65% ya washiriki wa Mkutano mkuu wa CCM ni Vijana.
Ivo Tunawakaribisha na tutawapatia Dawa Stahiki Nakuwatimizia Hitaji lenu kisawasawa kulingana na Uhitaji wenu.
Kumbukeni tu! CCM Tumejipanga, na CCM ni Ile Ile ya Mbelee kwa Mbeleee..
Hapa Kazi Tu!
By Peter Dafi
Mtetezi wa Wanyonge.
Makonda kasema ukijibishana na watu hawa utachujuliwa hatua. Hujui huyo ni mmoja wao?Bado uteuzi wa makatibu wayendaji wa vijiji utapata nafasi
Mkuu sikulijua hilo duuuuu ebwanae! !!!!!Makonda kasema ukijibishana na watu hawa utachujuliwa hatua. Hujui huyo ni mmoja wao?
Ni Hivi majuzi tumewasikia vijana wa BAVICHA wakitangaza eti watakwenda Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM na kwa hakika niliwaonea huruma.
Lakini Imekuwa Kila Siku wanaibuka Kila Mkoa nakuropoka tu kuwa Wataenda Kukwamisha Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Nashangaaa....!
Hivi ndio kusema ubunifu wa vijana wa UKAWA umefikia mwisho kabisa hapa nchini Tanzania?
Kweli vijana ambao walikuwa wakijipambanua kuwa wao ni mahiri na wazungumza hoja kumbe hizi ndio Hoja za kuzuia Mkutano wa Ndani wa CCM?
Kijana Sosopi, Patrobas nawengineo mmefilisika kwa Mwendo kasi mpaka leo mmefikia hatua hii! Hizi ndo siasa za sasa kweli naanza kuamini maneno ya Prof Kitila Mkumbo aliposema "Upinzania Tanzania utajimaliza wenyewe kwa kutegemea udhaifu wa serikali"
Wako wapi vijana wa Chadema waliokuwa na hoja za kufikirisha hadi sasa zinaibuka hoja za kufilisika?
Nimeandika haya leo, kimsingi ni kuwatakia kila la kheri katika azma yao hiyo!
Lakini kwa kuwa vijana hawa wanasema kisha ndipo wanafikiri, basi wakiwa wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, nawakumbusha tu haya;
1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote;
2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka;
Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo.
Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka.
Lazima tuweze kutofautisha Siasa na Matamko ya kisiasa.
Nawakumbusha tu kuwa 65% ya washiriki wa Mkutano mkuu wa CCM ni Vijana.
Ivo Tunawakaribisha na tutawapatia Dawa Stahiki Nakuwatimizia Hitaji lenu kisawasawa kulingana na Uhitaji wenu.
Kumbukeni tu! CCM Tumejipanga, na CCM ni Ile Ile ya Mbelee kwa Mbeleee..
Hapa Kazi Tu!
By Peter Dafi
Mtetezi wa Wanyonge.
Ukawa ni nani?maana tusije tukadhani ni dubwana fulani hivi!Ni Hivi majuzi tumewasikia vijana wa BAVICHA wakitangaza eti watakwenda Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM na kwa hakika niliwaonea huruma.

Peter Dafi ni taahira Mkuu, wala siyo wa kupongeza!Katka watu walionifanya niipende CCM Ni PETER DAFI... jamaa jembe sna ww

........................ wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, Kauli yako hii inaweza kutafriwa kuwa polisi na CCM wako pamoja. Na hii haipaswi kuwa sahihi kwa mujibu wa sheria na kanuni za vyama vingi. Usi ongezee kuipaka matope chama chetu tawala bila sababu za msingi.
Mkuu nimeqoute issue zako na niakziweka kwenye italics majibu yangu yakifuata kila baada ya hoja niliyo nukuu.
1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote; I Tafadhali usinukuu vitu ambavyo utajibiwa kirahisi kuonyesha tatizo liko wapi. Kwa mfano huu unaumiza chama chako badala ya kukisaidia.
2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka; Soma maelezo yangu hapo juu.
Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo. Hoja hii unanafuu lakini umeiharibu na hizo mbili hapo juu. Nadhani hapa Shisha yako ilianza kuisha kichwani baada ya Mh. Makonda kuipiga marufuku.
Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka. Hapa nadhani kuna mabaki ya shisha ulipata tena. Duh! Nitatafuta njia ya kuwasiliana na Mh. Makonda ili shisha ipokteee kabisa Dar. Itabidi uhamie mikoa mingine japokuwa imepigwa marufuku nchi nzima.
Eid Mubarak na acha shisha kama ilivyoelekezwa na viongozi wetu wapendwa.
Katka watu walionifanya niipende CCM Ni PETER DAFI... jamaa jembe sna ww
Kama tishu nyepesi mbona mnazitumia kuziba midomo, tens za msalanmkizidiwa msilete policcn.CCM bila msaada wa Polisi Ni wepesi kama tishu.
Ni Hivi majuzi tumewasikia vijana wa BAVICHA wakitangaza eti watakwenda Dodoma kuzuia Mkutano Mkuu wa CCM na kwa hakika niliwaonea huruma.
Lakini Imekuwa Kila Siku wanaibuka Kila Mkoa nakuropoka tu kuwa Wataenda Kukwamisha Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma.
Nashangaaa....!
Hivi ndio kusema ubunifu wa vijana wa UKAWA umefikia mwisho kabisa hapa nchini Tanzania?
Kweli vijana ambao walikuwa wakijipambanua kuwa wao ni mahiri na wazungumza hoja kumbe hizi ndio Hoja za kuzuia Mkutano wa Ndani wa CCM?
Kijana Sosopi, Patrobas nawengineo mmefilisika kwa Mwendo kasi mpaka leo mmefikia hatua hii! Hizi ndo siasa za sasa kweli naanza kuamini maneno ya Prof Kitila Mkumbo aliposema "Upinzania Tanzania utajimaliza wenyewe kwa kutegemea udhaifu wa serikali"
Wako wapi vijana wa Chadema waliokuwa na hoja za kufikirisha hadi sasa zinaibuka hoja za kufilisika?
Nimeandika haya leo, kimsingi ni kuwatakia kila la kheri katika azma yao hiyo!
Lakini kwa kuwa vijana hawa wanasema kisha ndipo wanafikiri, basi wakiwa wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, nawakumbusha tu haya;
1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote;
2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka;
Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo.
Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka.
Lazima tuweze kutofautisha Siasa na Matamko ya kisiasa.
Nawakumbusha tu kuwa 65% ya washiriki wa Mkutano mkuu wa CCM ni Vijana.
Ivo Tunawakaribisha na tutawapatia Dawa Stahiki Nakuwatimizia Hitaji lenu kisawasawa kulingana na Uhitaji wenu.
Kumbukeni tu! CCM Tumejipanga, na CCM ni Ile Ile ya Mbelee kwa Mbeleee..
Hapa Kazi Tu!
By Peter Dafi
Mtetezi wa Wanyonge.
Huyu atapangiwa u hedi masterKuna nafasi kadhaa za DAS bado ziko wazi.
Hawa si wale vijana Makonda aliokataza tusiwa follo twitaUna sura nzuri fulani pia
Haya piga kazi kijana