UKAWA mtanyooka tu....!

Hapa vijana wa maslahi wanamtafuta mtu,eti awe fundisho,hamtampata.
Labda niwaulize vijana wa cccm,mnajua madhara ya nguvu mnayo tumia?hasahasa katika siasa zenu za mbeleni?
Hivi mnajua imani inayo jijenga ndani wa vijana katika taifa hili,kutokana na mazingira mnayo wapitisha?
Hivi mmesha wahi ona moto uliofunikwa kwa majivu?juu utaona kama umezimika ila ndani utawaka hadi siku nne bila mkaa kwisha.

Ushauri wangu kwenu,fikirieni sana juu ya siasa mnazo fanya sasa,maana ni kama hamjui mtendalo.

Siasa sio chuki,matusi,mabavu wala kashfa,siasa ni maisha.Maisha tunayo ishi sisi wote
 
Mnyonge gani unayemtetea ww?
 
Mtetezi wa wanyonge? Wanyonge gani hao? Huyu kijana ajielewe kabisa, mpaka kabadika na picha ili aonekane. Tamaa ya madaraka itawamaliza, vijana mnakuwa wanafiki kiasi, Tanzania ya viwanda ndio nyie !! Mungu tusaidie
 
Hizi teuzi zinatuharibia kabisa vijana....Ama hakika hata kama Mwalimu Nyerere alikuwa na mfumo wa chama kimoja,lkn aliwaandaa vijana wake kuwa viongozi.Chuo cha Kivukoni kwa ajili ya Sera na Propaganda walau kilisaidia kuwaandaa UVCCM kuwa viongozi wa baadae

Kina JK,Lowassa,Jaka Mwambi,Mapuri na wengine ni matokeo ya sera ya "Academic Succession Plan"
Sasa hawa vijana wapo mitandaoni wanasema kabisa Kuwa wataenda kumwaga damu Dodoma
Kwamba wanasema wapo kakazi zaidi
 
sawa, umeshatimiza vigezo na masharti, sasa subiri ukuu wa wilaya.
 
Aya tatizo.mnafikili mwisho rangi kijani hamjui kama kuna rangi nyingi duniani,poleni hizo funguo weka vizuri boss wako anatoka ndani kamgungulie umuendeshe,dereva wewe.
Bora yeye dereva anajituma kuliko ww unasubir pale ufipa wakupe kiroba then wakuamrishe uende kwenye maandamano ,kazi utaki kufanya
 
kwa hiyo chaos dodoma walitaka kufanyia hadharani au ndani
 
Daa jamaa anataka ukatibu tawalaa kaamua kujionesha kabsaaa
 
Na wewe unatafuta ukatibu tawala wilaya?
 
Nafasi za kuteuliwa zimeisha vijana mtatumika mpaka lini?
 

........................ wanaelekea Dodoma kukipata wanachokitaka, Kauli yako hii inaweza kutafriwa kuwa polisi na CCM wako pamoja. Na hii haipaswi kuwa sahihi kwa mujibu wa sheria na kanuni za vyama vingi. Usi ongezee kuipaka matope chama chetu tawala bila sababu za msingi.

Mkuu nimeqoute issue zako na niakziweka kwenye italics majibu yangu yakifuata kila baada ya hoja niliyo nukuu.

1.Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa mikutano ya ndani ya vyama haiingiliwi hata na polisi na ndio maana hata mikutano ya viongozi wa juu wa Ukawa wenyewe wanaokutana mara kwa mara haijaingiliwa na chombo chochote; I
Tafadhali usinukuu vitu ambavyo utajibiwa kirahisi kuonyesha tatizo liko wapi. Kwa mfano huu unaumiza chama chako badala ya kukisaidia.

2.Hakuna zuio la mikutano ya ndani katika nchi hii ndio maana kule Dodoma kila siku wabunge wa Ukawa walikuwa ama wakikutana katika mikutano yao ya kimkakati au waliachwa wajinafasi kwa kufanya mikutano na vyombo vya habari kila walipotaka na kuropoka walivyotaka; Soma maelezo yangu hapo juu.

Nilidhani vijana hawa wangetumia akili na nguvu walizopewa walau kwenda kusaidia shughuli za maendeleo japo katika majimbo ya Ukawa kama vile kusaidia utengenezaji wa madawati,kusaidia ujenzi wa miradi ya maji,kwenda kukaa na kuwafundisha ujasiriamali vijana wasio na elimu n.k lakini kumbe sivyo.
Hoja hii unanafuu lakini umeiharibu na hizo mbili hapo juu. Nadhani hapa Shisha yako ilianza kuisha kichwani baada ya Mh. Makonda kuipiga marufuku.

Kwa kuwa akili zao zimeshikwa mahali na wakilala,wakiamka wanawaza siasa tu, nawakaribisha sana Dodoma maana mimi nitashiriki katika majukumu yangu ya kikazi na watakipata tena kiurahisi sana wanachokitaka.
Hapa nadhani kuna mabaki ya shisha ulipata tena. Duh! Nitatafuta njia ya kuwasiliana na Mh. Makonda ili shisha ipokteee kabisa Dar. Itabidi uhamie mikoa mingine japokuwa imepigwa marufuku nchi nzima.

Eid Mubarak na acha shisha kama ilivyoelekezwa na viongozi wetu wapendwa.
 
Nakuhakikishia zile zilikuwa porojo tu
Hawana ubavu huo,
Kipindi cha kampeni walitoa matamko kama hayo,
"Hatutatoka vituoni kulinda kura zetu
Patachimbika "
Mwisho wasiku hahaha chezea Vibendera wewe.


HAPA TULIA
KULE MAGUFULI!!!
Mbona we hujaweka picha yako
 
Bdo nina wasi was na huyu mtu kama kwel ni Mtanzania au ni mgeni!!!!!!! Na kama ni Mtanzania bsi atakuwa mjaza idad ya Ile 45 million ya watz!!!
 
Piga picha nyingine geuka kwa nyuma ubinue makalio kama wenzio wanavyofanyaga.
 
UPINZANI :2010,Tunahitaji Rais mkali, huyu Rais gani? Anacheka Cheka tu mambo hayaendi, Rais ni dhaifu.

WAPINZANI :2016.Rais huyu ni dicteta, apunguze ukali.

MAONI YANGU :hawa jamaa watakua wanahitaji Rais mkali au wanahitaji Rais atoke UKAWA???
 
Yaaani wewe mtoa poast ukija nikikutandika ngumi moja usiende chini naacha ngumiii kabisaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…