Ndugu wana JF, na hasa wapenzi wa mabadiliko kupitia UKAWA... Najua wengi mko kwenye state of frustration kutokana na matokeo ya TWAWEZA kama ilivyo kwangu,ila naona kuna mambo ya msingi sana kwenye utafiti huo ya kufanyia kazi,mfano:
Wananchi wengi wana aamini watakuta jina la UKAWA Kwenye karatasi ya kupigia kura ... so kwa sasa msisitizo uwe kwa kuwaelimisha wananchi kuwa kuna CHADEMA tu na hakuna CUF wala NCCR.
Pia ikumbukwe kuwa utafiti huo ulifanyika takriban mwezi mmoja uliopita so baada ya kampeni kuanza lazima kuna mabadiliko makubwa sana .