tajirijasiri
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,863
- 3,854
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo.
JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.
Nakubaliana na wewe ila niongezee kitu kimoja ambacho wengi hawakielewi.
Muda wa kuanza na kuisha kwa kampeni SIO SHERIA ni KANUNI tu iliyowekwa na Tume ya Uchaguzi. Haipo kwenye Katiba ya nchi.
Kuvunja kanuni sio kosa la jinai linalopelekea kukamatwa na polisi au kufunguliwa mashtaka. Ila tu inabidi wapewe onyo na Tume ya uchaguzi, iliyoweka kanunu hiyo.

Lakini lema kule Arusha walimkamata hao hao Polisi eti kazidisha dakika kadhaa za mkutano wake.
Tuko pamoja kamanda
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo. Hayo anayoyahubiri (sitaki kuyasema) ndio sera yao CCM kila uchaguzi, kwa lengo la kutuvuruga wananchi tusifanye mabadiliko. sisi wananchi wapenda amani tulishayapuuza kitambo na hatuyaruhusu yatugawe.
JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MKIZINGATIA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.
Swala linalo gusa maadili yanatakiwa kulindwa!Tunahitaji japo viongozi wenye utashi na uthubutu wa kuweka mambo sawa paleanapojikwaa. Kwa UKAWA wakiweza kwa moyo wa uthubutu waliweke hili sawa kwamasilahi mapana ya taifa letu.
Tunahitaji viongozi wenye kuweza kusimamia maadili ya pande zote.Kwa asiyeweza basi huyo hawezi kusimamia masilahi yetu sote. Kuna mambo mengi ambayo watu huyategemea kwakiongozi hasa anapokuwa amepewa uongozi hivo tunaomba haya mambo yasichukuliwekwa ujumla tu na kuyapuuza.
Kitendo cha Nape kubwabwaja kuhusu maadili ya Uchaguzi ni unafiki na udananda wa hali ya juu sana dhidi yake na CCM. Kauli yake ya Ushindi wa Goli la Mkono iliashiria wizi wa kura na ilivunja sheria, kanuni na taratibu za Uchaguzi huru na wa haki. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
Tena CCM yake imekuwa ikivunja sheria kanuni na taratibu za kuzingatia muda kwenye kampeni za kumnadi Mgombea wao wa Urais. Leo anatoa wapi Moral Authority ya kujifanya anajua sana Maadili ya Uchaguzi.
UKAWA: Msijibishane na huyu bwana. Muacheni ajipitishe kwenye vyombo vya habari, kwani hajui alitendalo. Hayo anayoyahubiri (sitaki kuyasema) ndio sera yao CCM kila uchaguzi, kwa lengo la kutuvuruga wananchi tusifanye mabadiliko. sisi wananchi wapenda amani tulishayapuuza kitambo na hatuyaruhusu yatugawe.
JIKITENI KUMNADI MGOMBEA WENU WA URAIS, WAGOMBEA WA WABUNGE NA UDIWANI KWA RAIA WOTE WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HUKU MKIZINGATIA SHERIA KANUNI NA TARATIBU ZA UCHAGUZI.
UKAWA KWETU AMANI UPENDO NA UMOJA NDIO ADHMA YETU.
Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.

Hakika upofu wa aķili ni ugonjwa mbaya sana. Kuna kundi moja la udhalimu duniani ambalo lina kiapo kisemacho:"Kiongozi (wao) akisema kitu fulani ni cheusi, hata kama ni cheupe, mwanachama haruhusiwi kusema kinyume na kiongozi". Huo ndiyo upofu wa akili uliokithiri. Ugonjwa huu ndiyo uliowakumba wanachama na mashabiki wa UKIWA, samahani, UKAWA! Wanaambiwa Lowasa kavunja utàratibu na maadili ya kampeni kwa kutamka Kanisani "mwaka huu ni zamu ya waluteri kutawala Tanzania", hivyo AKEMEWE, wao wanasema "CCM haina moral authority tena ya kuliongoza taifa"! Je, ina maana kuwa kujinadi kwa kutumia udini ndiyo "moral authority" inayotakiwa "kuliongoza taifa letu lililojaa amani upendo na mshikamano"!! Amani upendo na mshikamano vitatoka wapi katika kujinasibu kwa udini kwamba watu wa dini fulani wakuone kuwa wewe ni mtu bora kwa sababu ni mtu wao. Hizo ndizo siasa uchwara nikitumia lugha ya swahiba wa Lowasa, Rostam Aziz, aliyotumia alipojiuzulu ubunge.