L Lincon JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 465 Reaction score 112 Jul 11, 2015 #1 Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache! Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe! UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi!
Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache! Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe! UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi!
Bailly5 JF-Expert Member Joined Mar 11, 2015 Posts 16,543 Reaction score 35,402 Jul 11, 2015 #2 we chukua hiyo kadi hata leo.
ntamaholo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 12,956 Reaction score 7,002 Jul 11, 2015 #3 Wanaendelea na vikao
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Jul 11, 2015 #4 Kumchinja Kobe.........
RGforever JF-Expert Member Joined Apr 3, 2011 Posts 6,877 Reaction score 5,446 Jul 11, 2015 #5 Lincon said: Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache! Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe! UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi! Click to expand... Chukua tu kadi Wewe.... Naon Unaweweseka
Lincon said: Ikiwa inaelekea uchanguzi mkuu oct na imebaki miezi michache! Naona UKAWA wanazidi kuwaachia CCM mwanya wa kuingia ikulu mchana kweupe! UKAWA Oct msipo ingia ikulu nahakikisha nachukua kadi ya Chama Cha Mapinduzi! Click to expand... Chukua tu kadi Wewe.... Naon Unaweweseka
S Stephen Emmanuel Member Joined Jul 11, 2015 Posts 14 Reaction score 0 Jul 11, 2015 #6 Chukua tu kwanza ww c timu enl