Duu! kama wana CCM wenyewe ndio hawa wanaonzisha uzi kama hizi kweli CCM ndo basi tenaAmma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?
Mwenyekiti wa CCM anatazama show live ya Kinondoni Talents. Tuliiii, burdan wa sharaba.
Hiyo ndio tofauti ya wenye uchu wa madaraka na waliojaaliwa madaraka.
Poleni sana UKAWA kwa juhudi zenu na mihemko isiyokuwa na matumaini.
Hongera sana CCM kuonesha ushupavu wa kisiasa.
Amma kwa hakika leo nimefurahi sana, wakati ukawa wanahangaika kutafuta madaraka mpaka ma pressure na kulazwa hospitali. Mbowe vipi? Karuhusiwa kutoka hospitali na madaktari?

Sijaelewa, ushupavu wa siasa unapatikana katika kwa kuangalia "Kinondoni Talent Show"?
Nani kakuambia kuwa Mbowe ana "pressure" (shinikizo la damu) wewe?.. Namna hii ndiyo huwa mnasutwa kwa umbea!
Wewe unafikiri kizunguzungu cha nini? Ilikuwa showoff tu?
Hiyo inakuonesha how organized Kikwete is, so cool so calm, highly composed and enjoying his last few days without worries as he has more than outdone all those presidents before him, in each and every task of governing the country.

Utajua tu unajifanya umechanganyikiwa utatua tu.kumbe CCM wanamsimamisha tena Kikwete mwaka huu,nilikuwa sijui!
Hata mimi nimeshangaa sana. Huu ni ushahidi kuwa mgombea wa CCM hafahamiki hata miongoni mwa wanaccm wenyewe na ndio maana hata gazeti la Uhuru halimuweki ukurasa wa mbele habari ni Lowassa tukumbe CCM wanamsimamisha tena Kikwete mwaka huu,nilikuwa sijui!