DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Jun 11, 2015 #21 Ukawa wanacheza na midundo ya CCM. Inastaajabisha sana
DuppyConqueror JF-Expert Member Joined Mar 30, 2014 Posts 9,466 Reaction score 6,970 Jun 11, 2015 #22 Ukawa hawajui kuwa hawana muda na wanahitaji muda mwingi sana kujitangaza hasa huko mikoani...wanavyozidi kuchelewa inazidi kula kwao..Huo ndo mkakati wa CCM.
Ukawa hawajui kuwa hawana muda na wanahitaji muda mwingi sana kujitangaza hasa huko mikoani...wanavyozidi kuchelewa inazidi kula kwao..Huo ndo mkakati wa CCM.
DSN JF-Expert Member Joined Feb 2, 2011 Posts 2,837 Reaction score 1,686 Jun 11, 2015 Thread starter #23 DuppyConqueror said: Ukawa wanacheza na midundo ya CCM. Inastaajabisha sana Click to expand... Maana yako ndiyo maana yangu na ndiyo maana ya Kipanya.why dont they dance their own music...ili sie wachagua song tuchague.
DuppyConqueror said: Ukawa wanacheza na midundo ya CCM. Inastaajabisha sana Click to expand... Maana yako ndiyo maana yangu na ndiyo maana ya Kipanya.why dont they dance their own music...ili sie wachagua song tuchague.
All TRUTH JF-Expert Member Joined Nov 20, 2011 Posts 5,452 Reaction score 2,571 Jun 11, 2015 #24 mgt software said: Ukawa tunawasubili wateule kutoka hapa chini tuwasurubu Hawa jamaa tukiwateua tena wataturudisha huku tuliko Click to expand... Hahahaha
mgt software said: Ukawa tunawasubili wateule kutoka hapa chini tuwasurubu Hawa jamaa tukiwateua tena wataturudisha huku tuliko Click to expand... Hahahaha