UKAWA lazima muwe na self-defence

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,011
Kutokana na nchi yetu kuongozwa kibabe babe na katiba kukanyagwa, ni wakati sasa wabunge na viongozi wa UKAWA kwa ujumla lazima mupate mafunzo ya self defence.

Bila ya hivyo kila siku mutapelekwa Muhimbili hata katika maisha yenu yatakuwa ya hofu hofu.

Issue kama ile ya bungeni kuingizwa police kinyume na taratibu za bunge.
 
Kwa hiyo hizo fedha za posho wanazolipwa wazitumie katika kujifunzia karate na kungfu!. Ndugu yangu inaonekana unapenda sana mambo ya ugomvi, inaonekana shuleni monita wa darasa lako alikuwa anakuandika jina kila siku kwa sababu ya kuongea wakati wenzako wanasoma. Ushauri umewafikia nategemea wataufanyia kazi.
 
Mkuu

Hebu fuatilia bunge la China na Japan huko uwone wabunge wanavyo tiana ngumi, huu sio wakati wa kubembelezana, nchi hii inaongozwa kibabe, weka mguu sawa mkuu ukiingia bungeni
 
1453986327910.jpg
1453986332584.jpg
Taifa kwanza vyama baadae, siku zote vyama tawala havitaki kukosolewa,havitaki kuondoka madarakani hata kama wa failed
 
Mkuu

Hebu fuatilia bunge la China na Japan huko uwone wabunge wanavyo tiana ngumi, huu sio wakati wa kubembelezana, nchi hii inaongozwa kibabe, weka mguu sawa mkuu ukiingia bungeni
Nawaonea huruma hao wanaopewa huu ushauri, kwani watalazimika kuugawa muda wao ili waweze kuwatumikia watu na wakati huo huo kujifunza karate na kungfu. Washauri wasiwe na jazba, waachane na tabia za vijiweni, wakomae kwa kuwa wavumilivu, wakumbushe kuwa wametumwa bungeni na mamilioni ya watu, ambao wanayo mategemeo mengi kutokana na uwepo wao ndani ya bunge. Wakumbushe kuwa miaka mitano ni michache sana ukilinganisha na wingi wa ahadi walizotoa mpaka wakaaminiwa na kupigiwa kura. Wape ushauri wa maana utakaowajengea heshima mbele ya watu wengi. Hata wakijifunza karate na kungfu polisi wakija na pingu huwezi kuwazuia wasikukamate. Kuna wachina wengi tu wenye kujua karate na mbinu zote za kujilinda lakini wamefungwa katika jela zetu.
 
Kutokana na nchi yetu kuongozwa kibabe babe na katiba kukanyagwa, ni wakati sasa wabunge na viongozi wa UKAWA kwa ujumla lazima mupate mafunzo ya self defence.

Bila ya hivyo kila siku mutapelekwa Muhimbili hata katika maisha yenu yatakuwa ya hofu hofu.

Issue kama ile ya bungeni kuingizwa police kinyume na taratibu za bunge.
Teh Teh endelea kuwadanganya watapigwa hadi utashindwa kuwatambua....! Huu si utawala wa kudekezwa ....we unafikiri wao ni wajinga leo kutoka kimya kimya? wanajua muziki uliopo pale nje.....
 
View attachment 319782View attachment 319783 Taifa kwanza vyama baadae, siku zote vyama tawala havitaki kukosolewa,havitaki kuondoka madarakani hata kama wa failed
Sio kwa sababu wazungu au wachina wanakula matope njiani basi na wewe uige upumbavu huo wa kula matope. Jenga hoja zenye akili zenye kufikirisha ambazo zitawasaidia wabunge wa upinzani. Kupigana na kujihami waachie wahuni wa mitaani.
 
jenga hoja ndugu,mbona nape alipokuwa akiulizwa maswal jana,alikuwa akitolea mifano ya nchi zingine Mara zinafanya hivia,Mara vile xo hatutakiwi kuinga mataifa mengine au?
 
Nilikuwa namjibu mtu mwingine, aliweka picha za wabunge wa china na japan wanaopigana bungeni ndio nikawa namwambia sio kila upuuzi unaofanyika nje ya nchi na sisi tuuige. Unaiga yale mambo yatakayokujenga sio kuiga hata upuuzi wa wengine.
 
Mi ntajitolea kuwafundisha judo bure,,kwa hali ilivyofikia inabidi makamanda wetu wawe physical fit aisee ,,
 
Teh Teh endelea kuwadanganya watapigwa hadi utashindwa kuwatambua....! Huu si utawala wa kudekezwa ....we unafikiri wao ni wajinga leo kutoka kimya kimya? wanajua muziki uliopo pale nje.....

Hilo la kupigwa na polisi ama jeshi mbona halina mjadala. Lakini hivi unadhani vitakapoanza vitendo vya kigaidi bado jeshi litakuwa na cha kujivunia. Wakati mwingine mshabikie lakini mjue athari zitakazoweza kujitokeza. Leo hii hapo Kenya kinachoendelea nadhani unakiona, usidhani kama nchi yetu ni bora sana. Hakuna kitu kizuri kama ukishindwa ukubali na sio kufanya mambo ya kihuni.
 
Kutokana na nchi yetu kuongozwa kibabe babe na katiba kukanyagwa, ni wakati sasa wabunge na viongozi wa UKAWA kwa ujumla lazima mupate mafunzo ya self defence.

Bila ya hivyo kila siku mutapelekwa Muhimbili hata katika maisha yenu yatakuwa ya hofu hofu.

Issue kama ile ya bungeni kuingizwa police kinyume na taratibu za bunge.
unataka waende mafunzo ya kareti na judo?
 
Back
Top Bottom