UKAWA kuunda chama kipya kiitwacho NCC


Mbona kaeleza kwa uzuri kabisa, au kujitia ugumu wakuelewa.

N-CCR
C-UF
C-hadema
 
Wamechelewa sana,mpaka jina lijulikane mpaka vijijini ni kazi,jina la UKAWA limevuma na kujulikana Ila ndo hivo ilikuwa muungano kwenye katiba
 
Ningependa wangekiita UKAWA kama kawaida!lkn yote kwa yote CCM haitakiwi 2015.
 
Itakuwa ujinga wa kutupwa na sidhani kama Kuna ukweli kwenye thread hii. Kupoteza identity itakuja kuwagharimu Sana baadae. Wanachotakiwa hapo ni kuform Alliance Bila Kuua vyama. Si wakajifunze Kenya? They have learned enough lesson in the past election. Hivyo warekebishe kasoro hizo Bila kuathiri identity za vyama.
 

hizi habari hazina ukweli ukawa ni muungano wa vyama vinne NLD,CUF,CHADEMA NA NCCR hilo jina NCC ni la kutungwa tuu
 
Huu utakuwa uamuzi wa Kizalendo sana! It good to talk about Chama tawala vs Upinzani.... This will be great!!!
 
Kwa muda uliobaki nahakika hawatakipa usajili wa kudumu ili kushiriki uchaguzi mkuu. Chama pekee kilichopewa usajili wa kudumu hata kabla hakijaandika katiba ni kimoja tuu katika historia. ACT- Tanzania na sababu ziko wazi.
 

Mbona sioni Nld hapo au ni macho yangu???
 

Kwa jinsi ulivyokuwa muongo umesahau kuwa UKAWA ni muungano wa vyama vinne NLD mbona haujaipa alama yake?
 
Ukawa ndio nini?
nimeifananisha na ile hadith ya sungura na fisi na ile mbinu ya chawageni na chawote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…