Ndugu zangu wana JF, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa. Nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan B? Kazi kwenu
Suala hili halitasambaratisha Ukawa tu bali Taifa zima litagawanyika vipandevipande, hapo kuna wakristo upande mmoja na waislamu upande wa pili, pia wako wasio na dini. Hapo hakuna ccm wala ukawa. Jk mpaka kufikia mwakani atakuwa amelijeruhi vibaya sana taifa hili.
Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu
Safi jk, drshen, dr ghari, mbembe, jonimaleche, rasisi hili ndo tulikuwa tubalitaka. Kama muingereza anamkata shingo mmarekani huko irak kwa nini six asiharibu kwa vile anaona naye kakosa
Ndugu zangu wana jf, hatimaye nyundo ya kuwasambaratisha UKAWA imechongwa.nayo ni kuingiza suala la KADHI kwenye katiba mpya. Ukawa mlikuwa na plan b? Kazi kwenu
Mbona uzi haujitoshelezi,hii ni hoja very sensitive,lakini inaletwa bila maelezo ya kina,aieleweki kama kuna ukweli nndani yake au ni porojo za kwenye vijiwe vya pweza.
Fafanua zaidi.