gambalakobe
Member
- Jul 1, 2015
- 55
- 74
Hatimae mgombea wa urais kupitia umoja huo kujulikana jumanne tarehe 14/7/2015.Jana professor lipumba alihitisha press conference kuzungumza makubaliano hayo.
Lowasa alikuwa kidogo tishio kwa vile alikuwa na mtandao mkubwa na uungwaji mkubwa ndani ya CCM. Lakini Makufuli, njia kweli ni nyeupe! Hofu kidogo ni kushinda kwa goli la mkono, lakini kama refa atachezesha kwa kutumia sheria 17 za soka, na waje tuingie dimbani!
UKAWA mlijiandae na hoja ya UFISADI wa Lowasa, sasa CCM imeleta mtu mwingine, jipangene UPYA, Magufuli kiboko yenu