Pesa za Escrow zinaweza kuwa ni za Uma ama ni za Iptl.
Zanzibar inaweza kuwa ni nchi kamili ama Mkoa ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tz.
Tanzania utaipenda tu.
.....hakika kabisa.Mambo yanayotokea kwenye kutangaza na kuapisha washidi Wa uchaguzi Wa serikali za mitaa ni dalili mbaya ya kitakachotokea kwenye uchaguzi Wa urais Wa 2015 Kama UKAWA watashinda 2015. Ukawa itashindwa tu 2015 Kama wasimamizi, wanaotangaza na kuapisha mshindi wataendelea kuteuliwa na kupokea na kutii maagizo na amri kutoka kwa wakuu wa wilaya, wakurugenzi Wa wilaya, wakuu wa mikoa na Rais Wa nchi. Kama utaratibu utaendelea kuwa Kama ulivyo Sasa wapinzani ni bora kuanza kujiandaa kushindwa tu Tena 2015. Vinginevyo hamna budi kuanza Leo kutafakari namna wasimami, watangazaji Wa matokeo na waapishaji Wa walioshinda watakavyokuwa huru uchaguzi Wa 2015. Au muwe na cha kufanya Kama atatangazwa na kuapishwa yule ambae hakushinda Kama ilivyotokea kwa Mwai Kibaki kule Kenya.
wanaota mchana kweupe.Walikuwa na ndoto ya ushindi wakati sm wamegaragazwa. Kweli wajiandae tu kisaikolojia.
Watu wa ajabu kabisa nyie Chadema UKAWA. ndiyo gia mnayokwenda nayo kwa wananchi. Kwa mtindo huu CCM itaendelea kuwaburuza tu kwenye chaguzi mbalimbaliKweli ni muhimu kujiandaa. Maana manyinyiem haya hata aibu. Kushinda ashinde mwingine kutangazwa atangazwe mwengine.
kweli ni muhimu kujiandaa. Maana manyinyiem haya hata aibu. Kushinda ashinde mwingine kutangazwa atangazwe mwengine.
Hata zikiwa tume huru kumi, wananchi hawajaona sera za UPINZANI, zaidi ya kukiponda chama tawala, hayo siyo mahitaji ya wananchi.Bila Tume huru ya uchaguzi itakuwa kujisumbua tu kufanya uchaguzi kwani mshindi atakuwa anajulikana hata kabla! UKAWA msikubali kuingia katika uchaguzi bila Tume huru kwanza!
Slaa aliwahi kusema majukwaani kuwa akiwa rais ataruhusi gongo.bei ya viroba inapanda jiandae kurudia gongo
Bila Tume huru ya uchaguzi itakuwa kujisumbua tu kufanya uchaguzi kwani mshindi atakuwa anajulikana hata kabla! UKAWA msikubali kuingia katika uchaguzi bila Tume huru kwanza!