Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,523
- 14,198
Roho inaniuma hadi natetemeka.
Nilichokiona na nidhahiri wengi wamekiona ni kuwa kilichotokea bungeni ndicho kitachotokea kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Kwa sakata hili hapana shaka kuwa demokrasia inawataka pasi na kificho wahusika wawajibike.
Rais Lincoln wa Marekani alipata kuifafanua Demokrasia kama "is the government of the people for the people and by the people"
Sasa basi ukichunguza kwa makini ni kuwa CCM hawaitaki demokrasia Tanzania na ndio sababu ya yote yaliyotokea bungeni kwani wanaamini serikali ni ya viongozi na ipo kwa maslahi yao.
Hapana shaka kuwa katika uchaguzi mkuu 2015 demokrasia itaitaka CCM iachie madaraka kwani demokrasia inaamini serikali ni ya majority na ipo kwa ajili ya majority hivyo hapana shaka kuwa wananchi wataisulubu CCM kwa kuinyima kura, hapo ndipo penye ushauri wangu
"CCM IMEKATAA DEMOKRASIA KUTUMIKA KUWAWAJIBISHA VIONGOZI WABOVU JE ITAKUBALI YENYEWE IWAJIBISHWE KIDEMOKRASIA MWAKANI?
JIBU NI HAPANA WATAPINDISHA UKWELI, WATAIBA KURA, WATAHARIBU UCHAGUZI.
Viongozi wa UKAWA wanapaswa kuzingatia kuwa demokrasia haijawahi kuwa msaada kwa nchi yoyote katika kuondoa mafisadi, wahujumu uchumi na uongozi mbovu kwa ujumla.
Uingereza, Marekani,Ufaransa, Ujerumani hawakufika hapo kwa msaada wa demokrasia ndio maana katika historia kuna English revolution, French revolition, American revolution.
Malengo ya revolution zote hizo zilizoprove mafanikio ndio malengo ya UKAWA sasa je kwa nini mbinu zitofautiane?
UKAWA MJIANDAE KISAIKOLOJIA NA MUWE NA PLAN "B" WANANCHI TUPO TAYARI.