UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

UKAWA - Huu ni mwamzo wa mwisho.

Papa1

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2012
Posts
2,023
Reaction score
2,218
Nawasalimi kwa jina la Mwenyezi Mungu.
WANA UKAWA - Wananchi lukuki wako nyuma yenu, pamoja na vitimbwi vingi vya CCM mnavyokutana navyo katika bunge maalumu.
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha na kuwashauri yafuatayo:
1. Mko vitani kwa niaba ya wananchi, msitegemee adui kuwaletea mess-tin au beef, au mikate, adui atakutwanga singe, rungu hata risasi. CCM wavyofanya ndiyovita imeanza, kama mnasubiri filimbi mmekwisha.
Mapambano yanambinu kali kamavile kuvamia, ambush na adui akizidiwa atasema maridhiano. KATU CCM HAIWEZI TAKA MARIDHIANO ambapo ina maslahi, inauhakika wa ki-sheria au ki-hoja. Wakitaka Maridhiano kuweni makini sana na hapo, huenda unafiki ukawa ndio msingi mkuu wa maridhiano hayo na baadaye watawageuka. Si mliona maridhiano ya kuruhu Jaji Warioba aanze Kuwasilisha rasimu yalivyowatokea puani! Hivyo nduguzangu hapo ukumbini punguza ustaarabu, zidisha mapambano, vita imeishaanza, Tumemuona kamanda Tundulisu kesha ona adui kamtungua, la sivyo kanuni zingelala zimepinda leo.

2.Mfamaji haachi kutapatapa, Viroja vya CCM wanavyowafanyia nikwakuwa Rasimu ya katiba mpya imewagusa pabaya, ufalme wao uanatishiwa. Nawaomba msiwe na woga wowote wa jeshi kubwa la askari wa miguu wakati nyie mna manowari- (Rasimu ya Katiba) na ndege za kivita - (Nguvu ya hoja). Idadi ya silaha zenu ni ndogo lakini angamizi! Rasimu ya katiba inatambulika kisheri lakini hotuba ya kikwete haina nafasi ya kujadiliwa hata kwenye kamati kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko katiba. Raisi alichelewa kutoa maoni yake kwenye tume ya Jaji Warioba, au labda anafanya Backward Motion. Yeye Kama Kikwete ama kama Taasisi ya Ras alikuwa na nafasi ya kutosha kufanya marekebisho ya hayo aliyoyaita mapungufu ya rasimu ya katiba.

3. UKAWA Mnayodhamana ya kusimamia maboresho maoni ya wananchi yaliyo katiba rasimu ya katiba, hapa sasa, no retreat, no surender, ni mbele kwa mbele. Tengeneza mbinu za kutokubali kubuluzwa kama vile ilivyofanyika wakati Jaji Warioba alifanyiwa wakati ameitwa kuwasilisha rasimu mara ya kwanza. Mkiondoka mtawapotezea wananchi fursa muhimu ambayo huenda ikapatikana kwa gharama kubwa zaidi.

Msikubali kujadili kitu tofaoti na rasimu ya katiba kama inavyoelekezwa na sheria ya mabadiliko ya katiba kifungu 25 na msikubali kuondoka na msikubali kubuluzwa. Ujasiri, Nguvu ya hoja na Sala za Wananchi ndiyo silaha zenu.

Nawatakia kila rakheli komreds!

Mungu Ibariki Zanziba, Mungu Ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.
 
ukawa ni genge la wazandiki na wachumia tumbo
 
Tunawaomba viongozi wa UKAWA wajipange kwenda Mikoa ya Dar es salaam, Mwanza, Mbeya, Ruvuma, Arusha, Kigoma na Zanzibar kufanya Mikutano mikubwa ambayo mtawagawia Karatasi kuwataka wananchi watoe maoni yao kama muendelee kukaa Bungeni Ama mrudi mkafanya kazi zingine.

Nadhani Mkutano wa Seif Sharif Hamad umetupatia picha halisi ya nini wananchi tunataka. Tafuteni pesa mlipie Kipindi cha LIVE kurusha Mikutano hiyo, ili MAFISADI watambue safari yao ya kuwa wapinzani sasa imewadia.
 
Nadhani mwisho wa siku itakuwa ni kura ya wananchi kati ya Rasimu ya Tume ya Waryoba na hiyo inayotungwa na bunge hilo chini ya CCM. Ukawa watakuwa wanaipigia kampeni rasimu ya Waryoba, na CCM watakuwa wanapigia ya kwao! Wananchi watachagua. Ndio maana UKAWA lazima washikamane hadi mwisho na wasikubali kamwe kuyumbishwa!
 
Nawasalimi kwa jina la Mwenyezi Mungu.
WANA UKAWA - Wananchi lukuki wako nyuma yenu, pamoja na vitimbwi vingi vya CCM mnavyokutana navyo katika bunge maalumu.
Nachukua nafasi hii kuwakumbusha na kuwashauri yafuatayo:
1. Mko vitani kwa niaba ya wananchi, msitegemee adui kuwaletea mess-tin au beef, au mikate, adui atakutwanga singe, rungu hata risasi. CCM wavyofanya ndiyovita imeanza, kama mnasubiri filimbi mmekwisha.
Mapambano yanambinu kali kamavile kuvamia, ambush na adui akizidiwa atasema maridhiano. KATU CCM HAIWEZI TAKA MARIDHIANO ambapo ina maslahi, inauhakika wa ki-sheria au ki-hoja. Wakitaka Maridhiano kuweni makini sana na hapo, huenda unafiki ukawa ndio msingi mkuu wa maridhiano hayo na baadaye watawageuka. Si mliona maridhiano ya kuruhu Jaji Warioba aanze Kuwasilisha rasimu yalivyowatokea puani! Hivyo nduguzangu hapo ukumbini punguza ustaarabu, zidisha mapambano, vita imeishaanza, Tumemuona kamanda Tundulisu kesha ona adui kamtungua, la sivyo kanuni zingelala zimepinda leo.

2.Mfamaji haachi kutapatapa, Viroja vya CCM wanavyowafanyia nikwakuwa Rasimu ya katiba mpya imewagusa pabaya, ufalme wao uanatishiwa. Nawaomba msiwe na woga wowote wa jeshi kubwa la askari wa miguu wakati nyie mna manowari- (Rasimu ya Katiba) na ndege za kivita - (Nguvu ya hoja). Idadi ya silaha zenu ni ndogo lakini angamizi! Rasimu ya katiba inatambulika kisheri lakini hotuba ya kikwete haina nafasi ya kujadiliwa hata kwenye kamati kwa mujibu wa sheria ya mabadiliko katiba. Raisi alichelewa kutoa maoni yake kwenye tume ya Jaji Warioba, au labda anafanya Backward Motion. Yeye Kama Kikwete ama kama Taasisi ya Ras alikuwa na nafasi ya kutosha kufanya marekebisho ya hayo aliyoyaita mapungufu ya rasimu ya katiba.

3. UKAWA Mnayodhamana ya kusimamia maboresho maoni ya wananchi yaliyo katiba rasimu ya katiba, hapa sasa, no retreat, no surender, ni mbele kwa mbele. Tengeneza mbinu za kutokubali kubuluzwa kama vile ilivyofanyika wakati Jaji Warioba alifanyiwa wakati ameitwa kuwasilisha rasimu mara ya kwanza. Mkiondoka mtawapotezea wananchi fursa muhimu ambayo huenda ikapatikana kwa gharama kubwa zaidi.

Msikubali kujadili kitu tofaoti na rasimu ya katiba kama inavyoelekezwa na sheria ya mabadiliko ya katiba kifungu 25 na msikubali kuondoka na msikubali kubuluzwa. Ujasiri, Nguvu ya hoja na Sala za Wananchi ndiyo silaha zenu.

Nawatakia kila rakheli komreds!

Mungu Ibariki Zanziba, Mungu Ibariki Tanganyika, Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Africa.

Pamoja sana!
 
Wananchi wazalendo tupo nyuma ya UKAWA..........kitaeleweka tu wakijifanya jeuri tunaki chafua kwa maandamano nchi nzima huyu dhaifu huyu.....!!
 
UMENENA VYEMA SANA...papa1.! UKAWA wakikose kuachia manyang'au hayo maovu mno yakichezea na kuchakachua RASIMU YA PILI YA KATIBA kama ilivyowasilishwa na Jaji WARIOBA, itakuwa hatma yao na hatma ya uhai wa HAKI, demokrasia na kwa hakika viongozi hao hawarudi mitaani kuwatangazia watu NENO lo lote la kisiasa na wasikilizwe tena. Wasimame imara, wasimame imara, wasimame imara daima! Wakikubali kudondoka na kuachia manyang'au kukokota uundwaji wa Katiba mpya, kumomonyoa na kuunda yao ccm, hakika Vyama vyao navyo vitakufa flat, imani ya umma itapotea na manyang'au yataitawala Tanganyika kwa mika 50 mingine au 100 ijayo.

UKAWA WANATAKIWA KUTOKUACHIA HATA CHEMBE YA RASIMU YA PILI KUVURUGWA. WAJUE KOSA WALILOFANYA KURIDHIA KANUNI KUYUMBISHWA KTK UWASILISHAJI NA WA RASIMU YA PILI YA WARIOBA VS USANII ULIOWASILISHWA NA M/kiti WAO, LILIKUWA KOSA LA KARNE! Was a mistake of the Generation never be repeated!

Ni kiini macho kilitokea!! Ni aibu kwa mnafiki MKUU SITTA akiwa mchongaji mkuu wa usanii huu, anakuja sasa na kudai anatetea umma wa wananchi wakati ndiyo mpangaji, msimamizi na mvurugaji MKUU wa mawazo na matumaini ya wananchi ZAIDI ya 61% waliojitoa kwa MIOYO na akili kuwezesha kukamilisha kile kilichowasilihwa na WARIOBA lakini huyu mnafiki SITTA anaua matumaini hayo bila huruma na sasa anakimbilia kwa wanahabari kujisafisha ili kuwasahaulisha unafiki na upendeleo wake wa uovu na anayofanya chini ya carpets na kundi lililo ovu la ccm!

Kwa jina la MUUMBA wetu, SITTA atakwama, ataumbuka kwa sala na nguvu ya umma na neema za Mungu! Nchi ni watu, watu ni nafsi za Mungu ambao ccm wameweka lengo kuu chini ya M/kiti wao wa chama na M/kiti wa Bunge kuwapuuza na kudhani mtasimama?? HAKUNA! Wananchi mamilioni wapo nyuma ya UKAWA, nchi itakombolewa tu!
 
UKAWA ndio tumaini letu, mkiona vipi rudisheni mpira Kwa golikipa yaani Wananchi nasi tunaingia barabarani, habari ndio hiyo
 
Hapo kwa golikipa... kula like sabini na saba elfu mia saba na saba.
 
Back
Top Bottom