Ukawa hawajakomaa wanategemea wazungu!!

Unajua bajet ya serikali kwa mwaka ni kiasi gani?Zidisha hiyo trillion Moja Mara 12 Halafu compare!
Upuuz umekujaa kichwan

Trillioni moja kukusanywa mwezi huu haimaanishi kiwango cha pesa hakiwezi kuongezeka...

So kama magufuli atakaza kila mtu alipe kodi kwa mujibu wa sheria, akate misamaha ya kodi .... tunaweza kukusanya pesa nyingi sana maana watu wengi sana hawalipi kodi.mits obvious we shall get rid of beggin
 
Dah!! bado sana watanzania, mfumo wetu uko kitegemezi sana itachukua miaka mingi sana kufikia wakati wakujitegemea. Hivi unajua deni la taifa ni Tshs??????? Hivi unajua bajeti yetu tunategemea asilimia kiasi gani kutoka nje ili tujiendeshe? Hivyo bado sana!!
 
Kama kweli unatoka kariakoo basi shwari , tuonane mitaa ya kiungani .
 

Unadhani hao wanaotukopesha hawadaiwi?
 

Nani kakwambia hiyo trilioni moja ya msaada inatolewa kwa mwezi?
 

Hakuna mtu mwenye akili akatumia muda wake kukusikiliza wewe
 

Hayo mambo uliyo uliza kwa jinga lao ni msamiati mgumu sana
 
Ni mapema sana kujiona tunaweza wakati bado wachanga sana,
hatuna chochote tunachozalisha na kuuza nje zaidi ya kutegemea kutoka nje,ni vema tukaweka akiba ya Maneno ili ule usemi wa usitukane mamba kabla hujavuka mto usitukute
 
Mleta mada anafikiria mwisho kwenye miguu yake. Anachukulia kila kitu kama kinavyoonekana wala hawazi zaidi ya hapo. MCC walipotoa warning mara ya kwanza kuna watu humu kwa ushabiki wakasema potelea mbali..

KMK akajitokeza kutoa maelezo kwa busara kuwa hizo hela zinahitajika na wangejitahidi kucomply japo inaonekana wameshindwa kumeet deadline. Sasa ajabu bosi wa watendaji wote wa serikali analipa uzito jambo halafu kuna mtu anayejiita mjinga wao sijui kuna hormon gani mwilini mwake imefyatuka anafikiri anaweza kutunisha misuli
 
Hv CUF walivyolalamikia vitendo vya udhalilishaji waliofanyiwa maSheikh wa uamsho kuna msaada gani tulinyimwa?
Tuwe waangalifu katika kushabikia haya mambo
 
Wanaotukopesha wanadaiwa ila sisi ndio tunaoenda kukopa na sio wao wanaotufuata.
 
Watanzania sijui lini tutaa wake up, tusidanganywe na viongozi wa kisiasa, hivi hio kodi 1 Trilioni kwa mwezi kwa mwaka about 12 trillion tufanye 15 Trilioni, nchi kama Tanzania yenye 45 milioni hivi hizi fedha zitatosheleza katika kuwaletea maendeleo kwa haraka? Tanzania nzima hospital tunayo itegemea Muhimbili, haya elimu ndo tumeambiwa bure, kuna shule huko kwa maelf watoto wanakaa chini, maendeleo gani hayo kwa kasi yatapatikana?

Halafu kuna deni la taifa sijui limeongezeka kiasi gani, hivi hizo fedha zitatosheleza?

Zanzibar population 1.5 milioni kwa mwaka kodi 1trilion, hivi watanzania hatuoni aibu tanganyika 12 Trilioni kwa population 45 milioni? Hivi tupange vipi budget? Ili ukombolewe kwenye umasikini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…