Gangongine
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,854
- 1,776
Nawashangaa sana UKAWA kwa kututoa kwenye Agenda za Msingi kama vile vita dhidi ya UFISADI na kupigania matumizi mazuri ya Rasilimali za Nchi na Upatikanaji wa Katiba Mpya! Mnapoteza muda kutafuta kumng'oa NAIBU SPIKA (kama kweli mna uwezo huo!).
Hivi hamna mambo ya msingi ya kupigania? Upatikanaji wa Maji, Huduma za Afya, Elimu bora, Barabara za Vijijini, umeme n.k badala ya kupoteza muda wenu kwenye hayo mambo yasiyo na tija kwa sisi wananchi tuliowachagua????????