UKAWA haina uwezo wa kuongoza nchi


2na uhakika na ukawa ww kama hauna uhakika nao 2lia na ccm yako na uongo wao wa kila cku mm nimexhakua hizo xera zako kawadanganye ambao hawajaxoma hata daraxa moja atakuelewa
 

CCM ndo haina uwezo kabisa kwa taarifa yako. Na haina hatimiliki ya kuongoza nchi.
Chaguweni UKAWA ndo mpango mzima na ndo ukombozi wapili wa nchi kutoka kwa mkoloni mweusi ccm.
Propaganda zenu tulisha zizoea tangu 2005, mulipotuaminisha kuhusu JK. Kwasa twawa puuzia mno muta choka na kwa taarifa yako watanzania wameelimika hawadanganyiki tena. Lowassa kiboko yenu! Peoplessssss, Powererrrrrrrrrrrr! Mwaka wenu huu kukaa pembeni kwa amani kwasababu wameamua wenye nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…