UKAWA Chopa Sita: Wanashambulia Kila Kona..!

UKAWA Chopa Sita: Wanashambulia Kila Kona..!

Kamuche

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2010
Posts
368
Reaction score
121
Hivi heading hii imepotelea wapi! Maana mpaka tuulize ndo tuambiwe mlipo?
 
Hizo chopa mbona hazionekani?

Sera ya LOWASA ni kuwapa wafuasi matumaini hewa.Safari ya matumaini hewa inaendelea hizo zilikuwa ahadi za chopa hewa.Kuwapa UKAWA matumaini hewa!!!!! Bado anaendelea kuwapa matumaini hewa ya kuwa atashinda
 
Back
Top Bottom