Wapendwa najiuliza mgombea wao si alikuwa na mafuriko ya watu (ingawa wengi wao ni wanywa viroba) na wao wanadai anakubalika sana- sasa mbona hawa UKAWA/CHADEMA wamepanick hivo? Jamaa hawajiamini kabisa. Hizi ndio dalili za kupanick kwao.
1. Wako busy kujaza 'opinion polls' za mitandaoni. Halafu wanakuja na hesabu zao za jinsi mgombea wao anavyokubalika. Mara wanasema ana 87% na Magufuli 13%. Mnapanick na hivi vi polls uchwara vya nini?
2. Wako busy mitandaoni kutukana na kutengeneza kashfa za Magufuli.
3. Wana haha huku na kule kuitisha NEC na jeshi la polisi.
4. Wako busy kujiaminisha wameshinda mikoa yote tanzania na statistics feki.
5. Wako busy kufurahia kuondoka kwa wanchama CCM ambao hawazid 2,000. Wakati CCM ina wanachama 8,000,000.
6. Wako busy kukuchangia kwa hoja mfu na matusi juu kwenye mitandao.
7. Wako busy kumtukana mtu yoyote ambaye hayuko kambi moja nao mfano Diamond, Polepole, Ruge
8. Wako busy kutengeneza ukweli uwe uongo, kama kudanganya juu ya mabasi ya DART.
Sasa wandungu hizi ni dalili za nini? Ni za KUPANICK. Hawa ndugu wamepanick na hawana mbinu. CCM wameonyesha ukomavu na jinsi ya kuwa na mbinu za kisiasa. Acheni KUPANICK. TAARATIBUUUUUU MTANYOOKA TU.