maswi masero
Member
- Jul 14, 2015
- 18
- 1
Kumekua na malumbano mengi ndani ya umoja wa vyama vinavyounda UKAWA katika uteuzi wa mpeperusha bendera wao katika uchaguzi mkuu ujao, mbaya zaidi malumbano yote huwahusisha viongozi wao wakuu pale ambapo viongozi hao kua na tabia yao ya kutaka wao ndo wawe wateule kuwa wagombea urais.
Swali ni je, Kwani umoja huo hauna mtu mwingine anaeweza kupeperusha bendera ya umoja huo?
Swali ni je, Kwani umoja huo hauna mtu mwingine anaeweza kupeperusha bendera ya umoja huo?