nafasi iko wazi kabisa. kama kuna wakati wapinzani wamepewa kuchukua nchi hii ni sasa lakini Kama umakini usipo chukuliwa chama tawala kitapita hata bila compaign. kama ACT wataingia madarakani wakiwa na ukawa. naona kama hawatachukua hata miezi sita kabla serikali haijaparaganyika (maoni yangu).
UKAWA wamalize vikao vyao, Tunahitaji muda wa kutosha kusikia tanzania wanayotaka kutupa. Binafsi ACT bado haijapimwa na kuona kama ina nia ya dhati au ni mkono wa kuume wa chama tawala kulegeza upinzani. sina uhakika