johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,695
Nikimsikiliza kwa makini mwenezi wa ccm ni kama vile hoja ya katiba ya wananchi sasa imebebwa na CCM.Najiuliza wale waliojulikana kama ukawa bado wapo au imebaki historia?Na kama wapo je mwenyekiti wao ni nani?!!