Wala hamna shida...kwani fwachunguzana nini cha ajabu ...mere fact kwamba hamna kugegedana kabla ya ndoa tayari 85% naamini wee ni mkd mwema ...kitachoangalia zaidi ya hapo ni je wee mchapa kazi basi.

Ingekuwa ni ukuriani sijui angepita wapi ndio hivyo wanaume tunasema wanawake hawasomeshwi wewe sio baba ake fala sana huyo rafiki yako na wewe ukiwemo ukaka kimya nazi wewe
“Uyo jamaa yako nkikutana nae napiga yeye ,wew pamoja & ndugu zenu ote na mkitoa aja kubwa kw kpigo napiga nacho kinyes" Utasomeshaje Mchumba nisawasaw kubetia Mbao fc win 5-0 mbele y Barc