kijanamdogo2019
Member
- Jul 7, 2019
- 21
- 25
hili ndio umeona la busara dogo?Hawa ni kupiga na kutembea
msomeshe mpenzi wako huku ukijiweka tayari kwa lolote.Rafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafungua ndoa kimyakimya na jamaa mwingine.
Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
Yaani mwanaume mjinga pekee anasomesha dem....msomeshe mpenzi wako huku ukijiweka tayari kwa lolote.
wakati wake wa matumizi umeisha.
Pole Yake.
Ila mbona kila siku wenzenu wanawaambia humu kuwa mchumba hasomeshwi..
Ukiamua kumsaidia mtu,msaidie tu kwa sababu umeamua kumsaidia,do not expect anything in return..atakulipa Mungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huo sio ukatili tunatafuta pesa kwa ajili yao wale wavae wapendeze wangae hayo wanayo yafanya ni kawaida
Wow nimependa swali lako.... Lina maana kubwa mnohili ndio umeona la busara dogo?
na kuepusha yote haya ni bora ukatae tokea mapema maana mtu anapofanya kumsomesha mtu its because of love na huwezi vumilia hat kidogo kusema dont expect on return from some body who you just dump your feeling, money ,love its not like that sisi sio wanyama ni binadamuPole Yake.
Ila mbona kila siku wenzenu wanawaambia humu kuwa mchumba hasomeshwi..
Ukiamua kumsaidia mtu,msaidie tu kwa sababu umeamua kumsaidia,do not expect anything in return..atakulipa Mungu
kwanza yeye kama yeye keshajifunzana hatokuja kurudia tena pili watu kama hawa wapo ili na sisi pia tujifunzeRafiki yangu kidogo ajiue.
Kajitolea kamsomesha mchumba wake hadi kamaliza chuo Udom. Wakati wanapanga mipango ya ndoa demu akaaga anaenda kwao mbeya kusalimia kufika huko akafungua ndoa kimyakimya na jamaa mwingine.
Kuna Wanawake ni makatili kama shetani. Omba Mungu yasikukute.
true word ever being spokenMchumba hasomeshwi.
Tunaongezea....mchumba hapewi mtaji. Kampe mtaji bi mkubwa wako.