Pole sana. Mimi ni mwanachama tangu 2008 ila sasa nataka nijitoe sitaki usumbufu baadae maana Wamekaa kitapeli sana!
fanya fast jamaa ni tapeli kwelikweli.
kwani shirika hilo la nic bado lipo...
wale ni vibaka tu kama wengine wa mitaani, mm nilijaribu kujitoa lakini imeshindikana mpaka leo wanaendelea kukata pesa kwnye mshahara.
kwani shirika hilo la nic bado lipo...
wale ni vibaka tu kama wengine wa mitaani, mm nilijaribu kujitoa lakini imeshindikana mpaka leo wanaendelea kukata pesa kwnye mshahara.
nimeanza process za kutoka ila ndo hivyo itakula kwangu. Nimejaribu kuelezea pia ishu yako, wakaomba niwape "Policy No" yako ili wawasiliane na huko, waone ni nini kimekwamisha! Kama vp niPM hiyo P No, kesho naamkia pale makao!
Lipo mkuu! Sema hapo kati liliyumba sana hadi kufanyiwa 'restructuring'... Limeanza kunyanyuka tena kdg sema ndo hvyo haya mashirika yanafilisiwa na serikali yenyewe-ccm!
wale ni vibaka tu kama wengine wa mitaani, mm nilijaribu kujitoa lakini imeshindikana mpaka leo wanaendelea kukata pesa kwnye mshahara.
nimeanza process za kutoka ila ndo hivyo itakula kwangu. Nimejaribu kuelezea pia ishu yako, wakaomba niwape "Policy No" yako ili wawasiliane na huko, waone ni nini kimekwamisha! Kama vp niPM hiyo P No, kesho naamkia pale makao!
Sikushauri ujiunge. Utajuta. Mimi ni mhanga wa hao jamaa. Nilijitoa katikati, sasa nafuatilia changu ni mwaka wa 4, nineamua kuwaachia tu. Nenda fasta ofisin kwao pia kwa Afisa Utumishi wako, waambie umebadili nia!!Mm nilisaini nao mkataba last month nksomba waanze kunikata mwez October.
Kwa Hays mnayoniambia roho inaniuma cjui nifanyaje ili niweze kujitoa kabla ya makato yao kuanza
Naombeni msaada tafadhali
Mpe anae kupa