Ukatili wa fastjet

Ukatili wa fastjet

mimi ni mtu

Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
32
Reaction score
44
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa
Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena dar saa mbili asubuh mpaka ss navyoandika saa 21:35 ndege haijulikan inafika saa ngap na tumewekwa tj hapa ndan na hakuna mamalka yoyote inayotujali
Fastjet wanavanha wanavyotaka kila ck wanapaka dafar namuda wao bila kujali abiria ni uhuni uliopitiliza
Serikal na icikiie hawa jamaa wanatutesa kupita kiac

Msafiri aliyetekwa na fast jet toka asubuh mpaka ss
 
Msafiri nchi hii hana haki kabisa! Endeleeni kuwa wavumilivu wasafiri
 
Jamaa wanatesa watu hapa kuna watoto wala hakjna anayejali kuna abiria wa yoka juz hap hawajasafiri lakn hakuna mamlaka yoyote inayojali
 
Ukatili unaondelea kufanywa na fastjet cio wa kufumbia macho yapata wiki nzima ss abiria hawasafir kwa wakati ndege zinaairshwa bila kupewa taarifa
Leo asubh nilitakiwa kusafir kutoka mwanza kwena dar saa mbili asubuh mpaka ss navyoandika saa 21:35 ndege haijulikan inafika saa ngap na tumewekwa tj hapa ndan na hakuna mamalka yoyote inayotujali
Fastjet wanavanha wanavyotaka kila ck wanapaka dafar namuda wao bila kujali abiria ni uhuni uliopitiliza
Serikal na icikiie hawa jamaa wanatutesa kupita kiac

Msafiri aliyetekwa na fast jet toka asubuh mpaka ss
ATCL ndio mpango mzima kitu bombadier, Dreamliner na sasa Airbus
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom